JOHN MNYIKA
Pages
(Move to ...)
Home
Changia
Wasiliana na Mbunge
▼
Thursday, October 24, 2013
Maendeleo ujenzi wa daraja-Msigani
Katika ziara ya kukagua ujenzi wa daraja-Kata ya Msigani.
Wednesday, October 16, 2013
Ujenzi wa Kisima cha Maji Safi-Msigani!
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika alipotembelea ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa katika mtaa wa Msigani, Kata ya Msigani, ujenzi wa kisima hicho umechangiwa na fedha za mfuko wa jimbokiasi cha Tsh 3.5 milioni katika kumalizia ujenzi huo.
‹
›
Home
View web version