tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post1683587930290525779..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Kuhusu kauli za Waziri MagufuliJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-68640508079938381742012-01-11T08:09:14.125-08:002012-01-11T08:09:14.125-08:00Mimi sio sababu ya mbunge kuomba radhi, kazi yake ...Mimi sio sababu ya mbunge kuomba radhi, kazi yake ni kuisimamia serikali na hapa amemsimia Magufuli. Labda ulitoa maoni haya kabla ya kusoma tamko lake, mimi nimesoma na kuona alichukua hatua kuhusu hizi barabara. Nimefurahi kwamba alipendekeza barabara zipandishwe hadhi na kuongezewa fedha. Sasa kazi kwa Magufuli kwa kuwa alidai hajapata mapendekezo, ni vizuri Waziri akatekeleza mapendekezo yote kwa maendeleo ya jimbo letu ili tuamini uchapakazi wake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-6348191933743468552012-01-06T10:45:42.030-08:002012-01-06T10:45:42.030-08:00mimi ni mpenzi sana wa mafanikio yako Mnyika.lakin...mimi ni mpenzi sana wa mafanikio yako Mnyika.lakini katika hili umeteleza tena omba radhi wananchi wako .kumbuka kuna barabara nyingi ubungo hazipitiki tangu mvua imenyesha na matatizo kibao.nakushauri kuanza upya si ujinga OMBA RADHI WANAUBUNGOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-2966820682940686272012-01-05T21:24:20.716-08:002012-01-05T21:24:20.716-08:00Kweli mliocomment hapo juu nafikiri nanyie mmelewe...Kweli mliocomment hapo juu nafikiri nanyie mmeleweshwa sifa na magufuli,kinachotakiwa kiangaliwe kwa ukaribu ni je mapato yote ya ferry ya kigamboni yanawasilishwa ndipo tuseme kinajiendesha kwa hasara.<br />Bila kuficha maneno hata kulipia vivuko ni kumkandamiza mlalahoi, kwani ni sawa na kulipia barabara hivi ni wananchi wa kigamboni tu wanaotakiwa kulipia barabara ya mkato (ferry) Kenya somewhere Mombasa kivuko kupanda ni bure ni magari tu yanayolipia kwa kuwa yanacover nafasi kubwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-55127649375761650222012-01-05T06:55:06.636-08:002012-01-05T06:55:06.636-08:00John Mnyika kamamtajifanya kufuatilia kauli za Mag...John Mnyika kamamtajifanya kufuatilia kauli za Magufuli na kuacha utendaji wenu wa kila siku wa kuwatumikia wananchi, ntakuingiza na wewe kwenye kundi la wanasiasa vipofu wanaosubiri fulani aseme nini ndio waanze kupiga domo.mimi nadhani waelewesheni wanachi wenu ukweli ulivyo.na kusema Magufuri amelewa sifa inamaanisha unakubali utendaji wake na ni mtendaje, ikumbukwe kua ni magufuli huyu huyu ambae rais alimwambia alegeze sheria kidogo sasa naona na nyie mnataka kumwambia acha kabisa kufanya kazi...tunapenda watu wawajibikiaji bila kuangalia itikadi za kisiasa...kila la kheriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-79070574702643275472012-01-05T06:17:46.570-08:002012-01-05T06:17:46.570-08:00Kaka JJ,
Kwa roho safi na pasipo kukuficha; katika...Kaka JJ,<br />Kwa roho safi na pasipo kukuficha; katika suala la nauli ya kivuko, wewe kuungana na vipofu wengine ulikula kasa. Acha kabisa kubaki upande wa upinzani kwa MAghufuli katika suala hili. Tayari walio wengi tunakuona umepelekeshwa katika kuunga mkono upuuzi wa wabunge wa Dar. Sasa kama hutaki ku-take advantage ya hii "benefit of doubt" basi ingia ulingoni na upambane na Maghufuli. Utakuwa unamkimbiza aliyekuibia nguo bafuni......Kila la heriAnonymousnoreply@blogger.com