tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post1752544059397639473..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: NIMECHUKUA HATUA YA KUWASILISHA KWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA SUALA LA MATATIZO YA MAJI KATIKA KATA YA GOBA ILI HATUA ZA HARAKA NA ZA KUDUMU ZICHUKULIWEJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-71714052692900726332013-01-24T04:22:26.790-08:002013-01-24T04:22:26.790-08:00mi umeme tu goba tukipata utasaidia sana tafadhal...mi umeme tu goba tukipata utasaidia sana tafadhali chadema kama mnatak
a kura leteni umeme goba na wananchi wameshachangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-80078129008582783002012-10-27T23:51:44.417-07:002012-10-27T23:51:44.417-07:00Stephen P Mndalila,
Mzee, wazo la wananchi kujita...Stephen P Mndalila,

Mzee, wazo la wananchi kujitatulia matatizo yao wenyewe ni zuri ingawa binafsi siafikiani nalo hasa ukizingatia jinsi yetu ilivyo kwa sasa, mafisadi kibao! Kwa njia hiyo ya kutatua matatizo, mafisadi tena ambayo ni sehemu ya serikali watachekelea sana. Tusifuge ubovu huu maana utazidi kukuza pengo kati ya aliye nacho na tusio nacho, jambo ambalo ni la hatari mno.

Kumbuka anachofanya Mh. Mnyika ni kutimiza moja ya majukumu yake ya ubunge ya kuiisimamia serikali. Acha aiamshe serikali hii ilalayo na kodi zetu.

AsanteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-23190648295800316362012-10-14T23:59:19.968-07:002012-10-14T23:59:19.968-07:00Safi Mh. Mnyika kwa japo kuanzisha huu mjadala, ma...Safi Mh. Mnyika kwa japo kuanzisha huu mjadala, maana na mimi pia ni mmoja kati ya watanzania wengi tunaoathirika na kero za kukosekana kwa maji.
Na mie pia sikuungi mkono kwa njia unayotaka kuitumia katika kulitatua hili swala, njia hii haina nia ya dhati katika ufumbuzi wa suala hili, mie naiona imekaa kisiasa sana.
Na kwa njia hii unayotaka kuitumia kutatua matatizo yetu ya maji nadhani wewe hauna shida ya maji, sie hatutaki kesi tunataka maji.
Asilimia kubwa ya wananchi wenye uwezo kidogo wanaoishi katika jimbo lako na majimbo mengine wametumia rasilimali zao kidogo walizonazo wakajichimbia visima vya maji na kuwauzia wenzao, hii inaonyesha kuwa wananchi tupo tayari hata kutumia kidogo tulichokuwa nacho katika kutatua kero zetu ndogondogo, shida kubwa ni nyinyi wanasiasa mnataka kutumia kero zetu kujipatia umaarufu.
Shawishi wadau mbalimbali na wananchi tupo tayari kuisaidia Serikali katika kutatua kero ndogondogo tulizokuwa nazo. Refer mapendekezo ya Stephen P Mndalila yana tija kubwa zaidi ya hizo kesi zako.
Victor Jerome amemaliza vizuri sana, "TUSHIRIKISHANE WANANCHI KUTENGENEZA MAENDELEO YETU TUSISUBIRI VIONGOZI NA KUKALIA KUPOINT MATATIZO TUSHIRIKI BILA KUTOA MAPENDEKEZO YA NINI KIFANYIKE"
Mnatumia mabilioni kurusha mahelkopta kwenye chaguzi, kwa nini sasa msitumie hata robo tu ya hayo mabilioni kutuchimbia visima?
I HATE POLITICS.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-42456387519338416022012-10-13T07:22:04.434-07:002012-10-13T07:22:04.434-07:00Mheshimiwa Mnyika mimi nitatofautiana na wewe kati...Mheshimiwa Mnyika mimi nitatofautiana na wewe katika swala hili la kutatua matatizo ya maji kwa wananchi wa jimbo la ubongo. Suala hili inalipeleka kisiasa mno kuliko kitaalamu. Siasa na mahakama inachelewesha maendeleo ya wananchi sana hasa katika kutatua matatizo ya lazima kwa wananchi ikiwa kama ni haki yao ya kikatiba! Hapa inavyoonekana ni kwamba unataka kutatua tatizo hili lakini at the same time unataka ku score political points nafikiri kwa mtindo huu miaka mitano itapita na wala suala hili halitatatuliwa na wananchi wataendelea kupata shida ya maji na ninaamini utatumia vipengele hivi wakati wa kampeni ili uchaguliwe tena kwa awamu nyingine. Ushauri wangu ni kama ufuatavyo, wewe umechaguliwa na wananchi wakiwa na imani kwamba utawawakilisha kutatua kero zao kwa kitaalam kama ulivyoahidi kwenye kampeini zako! Unachoakiwa kufanya sasa hivi andaa timu ya mainjinia katika maswala ya maji, wafanye survey ya ya jimbo lako lote wajue idadi ya kaya katika jimbo lote, kisha waangalie mahitaji ya maji kwa siku kwa kila kaya, waangalie ni matanki mangapi makubwa yanatakiwa kujengwa ili kusambaza maji kulingana na mahitaji ya kila siku kwa kaya zote, watafute nini vyanzo vya maji ndani ya jimbo kwanza kabla ya kufikiria vyanzo vya nje ya jimbo lako. Kisha ziangaliwe ni fedha kiasi gani kinachotakiwa kujenga matanki ya maji na pump za kusukuma maji kujaza hayo matanki kila siku. Waangalie kuwe na nishati mbadala ya kuhakikisha kwamba pump hizo zinafanya kazi 24/7 ili kuhakikisha kwamba maji yanakuwa pumped kwenye matanki wakati wote. ziangaliwe gharama za kutandaza bomba katika kaya mbalimbali. Wakusanye gharama zote za kukamilisha mradi huu wa maji. Kisha ukishajua gharama zake kitaalamu wakusanye wananchi wako kisha mkae chini mjadili kwamba pesa ipatikane wapi kutatua tatizo hili. Angalieni wananchi wanaweza kugharamia kiasi gani hata kuchimba mitaro na kunua mabomba ya kujivutia maji majumbani kwao. Na hii itakuwa rahisi kama kuna miundo mbinu mizuri kwamba ili kupunguza mzigo kwa serikali wananchi wawezeshwe kuvuta mabomba kwa gharama zao kwa wale wenye uwezo kwenda kwenye nyumba zao! kinachotakiwa kufanyika ni pawepo na matanki madogo mtaani yatakayowawezesha wananchi kuvuta maji kutoka hapo. Gharama zingine zilipwe na serikali au tafuta wahisani sehemu mbalimbali au fanya harambee mbalimbali za kukusanya pesa. Ninaamini kwenye jimbo lako wapo watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuchangia mradi huu, watumieni wananchi kumaliza matatizo yao wenyewe sio kuitegemea serikali kwa asilimia mia moja kutatua kila tatizo kwa mwananchi wake. Mambo ya kesi ni kupoteza wakati na mpaka hukumu itolewe na inaweza hata isitatue tatizo lolote na wananchi wataendelea kupata shida zisizo za lazima! Haya ni mawazo yangu ya bure kwako kwa leo sintakutumia bill yoyote! Nashukuru kwa kunielewa ndimi Stephen Mndalila.Stephen P Mndalilahttps://www.blogger.com/profile/17195540274305048785noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-42578723084205113932012-10-12T02:55:49.731-07:002012-10-12T02:55:49.731-07:00habari ya mchana mh. mbunge..
kati ya mambo ambayo...habari ya mchana mh. mbunge..
kati ya mambo ambayo kiongozi mwajibikaji anafanya ni kufuatilia jambo kwa ukaribu na kutoa taarifa kwa wananchi wake ni hatua gani aliyofikia na pengine kama kunavikwazo mabalimbali vilivyojitokeza katika ufuatiliaji huo inakua rahisi kwa wananchi kufahamu kupitia kiongozi huyo..
binafsi naheshimu na kuthamini utendaji kazi wako, na natambua wewe ni kijana ambaye umejitoa kwa ajili yetu sisi tunaokuja nyuma yenu...
nipende kukupa moyo na kusisitiza kuwa usikate tamaa katika utendaji kazi wako..
vikwazo ni vingi sana lakini usikate tamaa..niko pamoja nawe sana na niko pamoja na CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa na mapambano bado yanaendelea.

''A GOOD LEADER ALWAYS AIM TO MAKE GOOD HISTORY, HIS FOLLOWERS WILL SING PRAISING VERSES FOR HIM AS A SYMBOL OF HONOR AND RESPECT''
KEEP GOING BRO....JAH BLESS YOU...godlisten malisahttp://www.facebook.com/godliego?ref=tn_tnmnnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-38637067081066541062012-10-12T02:54:06.366-07:002012-10-12T02:54:06.366-07:00habari ya mchana mh. mbunge..
kati ya mambo ambayo...habari ya mchana mh. mbunge..
kati ya mambo ambayo kiongozi mwajibikaji anafanya ni kufuatilia jambo kwa ukaribu na kutoa taarifa kwa wananchi wake ni hatua gani aliyofikia na pengine kama kunavikwazo mabalimbali vilivyojitokeza katika ufuatiliaji huo inakua rahisi kwa wananchi kufahamu kupitia kiongozi huyo..
binafsi naheshimu na kuthamini utendaji kazi wako, na natambua wewe ni kijana ambaye umejitoa kwa ajili yetu sisi tunaokuja nyuma yenu...
nipende kukupa moyo na kusisitiza kuwa usikate tamaa katika utendaji kazi wako..
vikwazo ni vingi sana lakini usikate tamaa..niko pamoja nawe sana na niko pamoja na CHADEMA kwa miaka kadhaa sasa na mapambano bado yanaendelea.

''A GOOD LEADER ALWAYS AIM TO MAKE GOOD HISTORY, HIS FOLLOWERS WILL SING PRAISING VERSES FOR HIM AS A SYMBOL OF HONOR AND RESPECT''
KEEP GOING BRO....JAH BLESS YOU...

says GODLISTEN MALISA...DSM..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-56946377222061305572012-10-12T00:24:44.309-07:002012-10-12T00:24:44.309-07:00mheshimiwa mbunge nakusalimu sana. nafurahi kwa ha...mheshimiwa mbunge nakusalimu sana. nafurahi kwa hatua ulizochukua lakini naomba kukujaza na kukujuza taarifa nyingine muhimu kuhusu maeneo yao ya goba, ukianzia goba mpakani kurudi mpaka njia panda kwenda msumi.kuzunguka kurudi makabe, mpiji, urudi mpaka msakuzi uendelee upande mwingine urudi mpaka kibwegere uje utokee kibamba ccm shuka tena upande wa pili mpaka kwembe hadi malamba mawili uje mbezi pandisha mpaka ufike kimara kote huku maji ni historia wenzetu wa temboni mapak stop over hadi kimara bucha walikutana na maji ya mchina zilipitishwa bomba za maji nyumba baada ya nyumba na mita zikafungwa hii ilikuwa project ilisimamiwa na wachina lakini jiulize hayo mabomba yanatoa maji? na watu wengine hupelekewa bili za maji kila mwisho wa mwezi sijui dawasco kimara wanafanya nini.
la pili pia maeneo hayo mengi hayana umeme, barabara nazo ni kituko, watu wa goba wanapanda canter na pickup walau bajaj, mvua zikinyesha mpiji magari hayaendi au yakienda yanaishia njiani, sasa kituko ni hiki tunao watu wakubwawa serikali wanakaa huku, mimi jirani yangu ni ofisa mkubwa wizara ya elimu na kila siku anafatwa na gari la wizara, mwingine na ofisa manispaa ya kinondoni ni kama vile hawaoni hili. si hao tu wapo watoto wa vigogo wa nchi hii wanakaa huku,zipo shule kubwa huku lakini hatukumbukwi wala kusikilizwa wenyewe kama kawaida ya wananchi wa tanzania "TUMESHAJIRIDHIKIA"
maana kama kelele tumepiga mpaka tumechoka maji siku yakija ukanda huu sijui......wapo watu waliweza kuvuta maji kwa gharama zao wanasaidia wananchi wengine kwa kuwauzia cha ajabu ngoja waje hao wahusika wa maji ni kele kwa kwenda mbele eti kwa ni ni mnauza maji mheshimiwa nakushauri siku usitembee kwa msafara halafu pita hayo maeneo moja baada ya lingine uone live mambo yalivyo nitafurahi siku yakiutatuliwa matatizo haya maana itakuwa ni siku ya mapinduzi ya ukanda wa kimara,mbezi na kibamba yote.

TUSHIRIKISHANE WANANCHI KUTENGENEZA MAENDELEO YETU TUSISUBIRI VIONGOZI NA KUKALIA KUPOINT MATATIZO TUSHIRIKI BIA KUTOA NA MAPENDEKEZO YA NINI KIFANYIKE MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WOTE WENYE UZALENDOAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/14804606765766932699noreply@blogger.com