tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post3946009317577819685..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Sijaridhika na majibu ya Mkuu wa Mkoa kuhusu mgogoro unaoendelea juu ya usafiri wa pikipiki/bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar es SalaamJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-8243574628077844422014-05-20T00:58:10.912-07:002014-05-20T00:58:10.912-07:00Mwendesha Pikipiki Binafsi: Juzi nimekutana na kun...Mwendesha Pikipiki Binafsi: Juzi nimekutana na kundi kubwa la askari wakiwa wamebeba bunduki eneo la kituo cha polisi Oystabay umbali mdogo kutoka Moroco walinikamata na nikakuta pikipiki nyingi zimekamatwa cha kushangaza askari walikuwa wanatutukana sana hadi nikapata hofu nikagundua pia askari walikuwa wanabishana nilimskia mmoja wa askari akisema "Jamani kuweni makini naskia RPC anakuja huku..isije ikawa balaa" niliitwa katika chumba fulani na nikaambiwa unatakiwa kulipa faini sh.30,000/- nikalipa nikapewa NOTIFICATION OF TRAFFIC OFFENSES lakini cjapewa risiti ya malipo. Nikawa na wasiwasi sana na hii operation invyoendeshwa, Ni kweli vijana wa nchi hii tunaonewa sana na jeshi la Polisi naishauli mamlaka husika kuangalia kwa makini kabla hawajaamua kutekeleza jambo dhidi ya jamii.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-34916232515908216082014-04-07T04:36:48.012-07:002014-04-07T04:36:48.012-07:00mwanzo mzuri, nadhani mkuu wa mkoa kapitiwa kwa ba...mwanzo mzuri, nadhani mkuu wa mkoa kapitiwa kwa bahati mbaya katika hili, matatizo ya usafiri Dar ni janga linalohitaji majadiliano ya pamoja kufikia unafuu wake. ukiangalia route za usafili wa umma na jiografia ya katikati ya jiji ilivyo utagunduua ni jinsi gani usafiri wa bodaboda na bajaji ulivyomuhimu kwa wananchi walio wengi. Anonymousnoreply@blogger.com