tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5057694705083208358..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Serikali ijieleze kwa wananchi juu ya utafutaji na uchimbaji wa UraniJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-35849463557887328642012-03-29T00:07:05.119-07:002012-03-29T00:07:05.119-07:00Habari John. Kazi nzuri kupaza sauti ili wezi waju...Habari John. Kazi nzuri kupaza sauti ili wezi wajue kuna watu, lakini kazi kubwa inayotakiwa kwa sasa ni kupata rasilimali watu zaidi wenye uwezo na ujasiri wa kulinda, kutetea, na kusimaimia mali asili ya taifa letu. Kupeana habari ni njia nzuri ya kuelimishana na kuamshana. Vijana wa taifa la Tanzania watambue ujana ni leo, taifa tulitakalo liandaliwe wakati uliopo, kwa nguvu ya pamoja tutaweza kuzuia matumizi mabaya ya maliasili yetu, tutaweza kuzuia uvamizi wa ardhi, na akili zetu pia. Vijana waweze kuhoji na kuchukua uamuzi stahiki pale pasipo na jibu ridhisha.Michael Mwendahttps://www.blogger.com/profile/02215716336712404966noreply@blogger.com