tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5153340775882412458..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Hali tete na tata ya kituo cha mabasi cha Ubungo (UBT)- Hatua ambazo nimeanza kuzichukuaJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-74072183583976254172013-07-29T23:22:16.820-07:002013-07-29T23:22:16.820-07:00Habari Mhe. Samahani kwanza kwa kuwa nje ya Commen...Habari Mhe. Samahani kwanza kwa kuwa nje ya Comment ya mada husika, mimi ni mwananchi wako wa jibo la Ubungo, niko maeneo ya king'ongo, naomba nitoe lalamiko kuhusu visima vilivyochimbwa na DAWASA ambavyo tulitegemea vingekuwa mkombozi wetu katika tatizo la maji, lakini matokeo yake tangu Mkuu wa Mkoa avizindue vizima hivyo havisaidii wananchi bali vimezidisha kero ya maji kwani hiyo kamati ambayo imeteuliwa na Mwenyekiti wa kijiji, imevifanya visima hivyo ni mali yao, na mpaka naandika malalamiko haya Mhe. wananchi wanataabika hawapati maji na hawaelewi hatima yao. Tunaomba utusaidie Mhe. kwani wakina mama wanataabika sana ndoo ya maji ya bomba ni shilingi 400/=, wakina mama wanaamua kwenda mto Mbezi kutafuta maji ambayo si salama.Anonymousnoreply@blogger.com