tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5157372543131806704..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Mnyika achukua fomu ya kugombea Ubunge UbungoJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-55564005964401887492010-06-22T01:39:25.204-07:002010-06-22T01:39:25.204-07:00Nimesoma maoni ya anonymous wawili, naomba ielewek...Nimesoma maoni ya anonymous wawili, naomba ieleweke kwamba madai yanayotolewa hapa hayana ukweli wowote. Ifahamike pia kuwa si kweli kwamba CHADEMA Ubungo haikushinda kiti chochote cha mtaa katika uchaguzi wa mwaka 2009. Nawatakia mjadala mwemaJohn Mnyikahttps://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-86900824745602724332010-06-21T02:43:50.991-07:002010-06-21T02:43:50.991-07:00kwanza ametengeneza mpasuko ambao ni hatari kwa ch...kwanza ametengeneza mpasuko ambao ni hatari kwa chama.Kuzungumza na kikundi cha watu kutoka katika kata iliyoko kwenye jimbo mfano jimbo la segerea kuwa mgombea aliyeko ni weak thats why jimbo halipewi kipaumbele pamoja na jimbo la ukonga.Let me tell u one thing mnyika..siasa unayoitaka kuifanya sio nzuri,kujulikana kwako ubungo ni sababu uligombea 2005,lakini uchaguzi wa serikali za mtaa hukupata hata kiti kimoja ,hao unaodai ni dhaifu wamepata mitaa,waache nao watajulikana wakishagombea!naipenda chadema bt kuna watu kama wewe humo wanakatisha tamaa.ur very selfish mnyika!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-71233262795076678002010-06-17T13:44:20.112-07:002010-06-17T13:44:20.112-07:00Mnyika ameingilia vipi uteuzi kwenye majimbo ya Se...Mnyika ameingilia vipi uteuzi kwenye majimbo ya Segerea na Kigamboni? Hebu tupe maelezo zaidiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-56667455072040957642010-06-16T02:29:44.091-07:002010-06-16T02:29:44.091-07:00Mnyika umechukua fomu ubungo, lakini usiharibu cha...Mnyika umechukua fomu ubungo, lakini usiharibu chama kwenye majimbo mengine ya dar,unaonekana kuharibu chama kwenye baadhi ya majimbo ya dar hasa segerea na kigamboni.Tunakuomba uwachie watu wa segerea na kigamboni kazi ya kuteua mbunge usiwapangie!!!!! wala usiingilie mchakato ndani ya haya majimbo kwa usalama wa chama chenu!Anonymousnoreply@blogger.com