tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5637547704082990131..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.)John Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-16294952366362205862011-11-15T04:40:25.897-08:002011-11-15T04:40:25.897-08:00Zanzibar wamekuwa wabinafsi siku zote, na hili ndi...Zanzibar wamekuwa wabinafsi siku zote, na hili ndilo linalowafanya wajibaguwe wenyewe. ndio maana Jina Mzanzibar ni Maarufu kuliko jina Mtanganyika. Kama vipi ni heri wajitenge kama wanajiita wanaharakati wa kizanzibar wanachotaka. Tanzania Bara haina inachofaidika na zanzibar yenyewe!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-86159648879299529372011-11-15T02:57:11.151-08:002011-11-15T02:57:11.151-08:00Hatuwahitaji Zanzibar. Nadhani tunaogopa kusema wa...Hatuwahitaji Zanzibar. Nadhani tunaogopa kusema wazi, lakini hawana faida yoyote hawa kwetu.MULIKA MWIZIhttps://www.blogger.com/profile/01447365322670379707noreply@blogger.com