tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5792206969730534945..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Mnyika: Katiba ina mapungufu 90John Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-51906170897991719642011-01-04T21:50:43.632-08:002011-01-04T21:50:43.632-08:00Hongera Mh. Mnyika kuwasirisha mapendekezo hayo.
...Hongera Mh. Mnyika kuwasirisha mapendekezo hayo.

Sisi wakereketwa wa CHADEMA tunapenda kujua kwa kina uliyandikwa kwenye hayo mapendekezo walau tujue nini cha kuwaeleza wenzetu, wanautuuliza sana huku mtaani hasa majirani zetu wa kijani kijani.

Pia tunapenda utupatie hayo mapungufu 90 yaliyo kwenye katiba, ili tujue vizuri kwa nini tunahitaji katiba mpya.

Ahsante,
Mdau.Anonymousnoreply@blogger.com