tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post5937431060436415435..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Shukrani kwa Kongamano la MajiJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-45828193391131529172011-02-05T08:40:36.942-08:002011-02-05T08:40:36.942-08:00hongera sana muheshimiwa kwa juhudi zako binafsi u...hongera sana muheshimiwa kwa juhudi zako binafsi unazozionyesha pamoja na hayo yote kunakilio kingine kwa watu wa mlonganzila kibamba karibu na eneo ambalo muhimbili wamelichukua muheshimiwa eneo hilo halina umeme ila limezunguukwa na umeme tanesco waliisha kuja tangu mwaka juzi na kuweka alama za nguzo za umeme cha ajabu mpaka leo hakuna cha nguzo wala dalili za kuwekwa nguzo hizo mimi binafsi nipo nje ya nchi kimasomo nakuja huko wakati wa mapumziko ya kila mwaka mi nimkazi wa sehemu hiyo diwani wetu ni mama mmoja jina silifahamu sababu wakati wa zoezi la uchaguzi nilikuwa sipo huko tunaomba muheshimiwa jaribu kutuondolea kero hiyo samahani na pole kwa usumbufu nakuomba usituchokeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-52450748580816253542011-02-03T05:18:57.721-08:002011-02-03T05:18:57.721-08:00Mimi nasubiria huo mrejesho. But honestly ongera s...Mimi nasubiria huo mrejesho. But honestly ongera sana kwa ideas maana wapo wengi walishindwa kuandaaa vitu kama hivi. Ni mwanzo mzuri sana katika njia yako. Humo humo kwenye mstari.Bill Mugenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-14321744118220498962011-02-01T07:04:52.932-08:002011-02-01T07:04:52.932-08:00Mkuu naomba na tatizo la barabara ya Mbezi luis mp...Mkuu naomba na tatizo la barabara ya Mbezi luis mpaka mbezi Beach ,Mbezi Luis mpaka uwanja wa ndege pugu road tafadhali nayo ongeza nguvu tangu Kaenja mpaka leo Haijawa Natuin wewe tu utaweza kufanya ki ukweli maana ni muhimu sana tunapita kwa shida na inaoka foleni ubungo MKUU TAFADHALI jitahidi sana mambo ni mengi ila ndo hivyo mkuu TANAKUTUMAINIA SANA WAPIGA KURA WAKO AHSANTE.Activehttps://www.blogger.com/profile/15540365721687174858noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-45767918490921574482011-02-01T05:52:57.199-08:002011-02-01T05:52:57.199-08:00Hongera sana Mheshimiwa, pia hongereni wananchi ml...Hongera sana Mheshimiwa, pia hongereni wananchi mliofanikiwa kufika kwnye kongamano hilo muhimu sana kwa maendeleo si ya Ubungo tu bali ya Taifa kwa ujumla.<br /><br />We hope to hear from Mheshimiwa soon.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/05074721562448061136noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-34005185852028629962011-02-01T04:06:12.158-08:002011-02-01T04:06:12.158-08:00Big up kaka, hiyo ndo nguvu ya umma, haizimwi kwa ...Big up kaka, hiyo ndo nguvu ya umma, haizimwi kwa maji wala mchanga.Pamoja tusonge mbeleSILAYO,Ahttps://www.blogger.com/profile/07931689243275991349noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-72970309752691202832011-02-01T02:35:56.964-08:002011-02-01T02:35:56.964-08:00This is what we wanted big up kakaThis is what we wanted big up kakaUnknownhttps://www.blogger.com/profile/09831272737375009582noreply@blogger.com