tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post6008404970585247872..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Waraka wa Kwanza kwa mwaka 2013 wa Mbunge kwa WananchiJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-7323929695844328562013-02-10T23:32:44.154-08:002013-02-10T23:32:44.154-08:00Mh, Mnyika umechambua vizuri udhahifu unoonyeshwa ...Mh, Mnyika umechambua vizuri udhahifu unoonyeshwa dhahiri na kiti cha spika na serikali yake kutokuwa fair kwa mkundi tofauti likiwemo upande wa upinzani katika shughuli za bunge.

Hii ni muendelezo wa kuonyesha dhahiri kuwa wabunge wa CDM wako makini kuipa taifa dira ya uongozi ikilinganisha na wabunge wa chama tawala wasiokuwa na maslahi ya taifa.

Big up Mh.

Nguvu ya umma ndiyo nguvu pekee, 2015 tutawasomea hukumu.

Jamani waTZ mshikamano muhimu... hili limekuwa likiongelewa kila mara na viongozi waandamizi wa CDM. Sio nguvu kidogo inahitajika kufurusha unyanywasaji wa utawala wa crezy green.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-29105760151067011472013-02-10T09:13:20.292-08:002013-02-10T09:13:20.292-08:00Mungu akupe afya njema unajua mtu akitaka kufa huw...Mungu akupe afya njema unajua mtu akitaka kufa huwa anachoka hata kutumia dawa wewe hata usingeandika waraka sisi wananchi tumeshajua mchele ni upi.pumba ni zipi nachoweza kukwambia usiogope kitu wananchi tupo pamoja na chadema .sio bungeni hata huku kwetu mwnza wanatuvuluga sana ila hawatashikamana hapo 2015 tutaona hizi nguvu mbili live yaani ya shetani na nguvu ya mungu tumeona sasa wanatengeneza mtandao wa makahaba wengi kila kona ya nchi ili waje wawatumie mungu ni mwema kwa wale wamtumainie siku zote hata kama watajifungamanisha na shetani hawataweza saana watimiza unabii.ila ole wao wawatesao watu wa munguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-86180336028862385142013-02-10T04:10:24.017-08:002013-02-10T04:10:24.017-08:00mh hayo tunayajua sana na hii nikutokana na kiti c...mh hayo tunayajua sana na hii nikutokana na kiti cha spika kulifanya bunge liwe la chama fulani na lisiwe la wananchi kazi kubwa ya chama chetu nikuwafumbua macho watanzania ili watoe hukumu wenyewe 2015.Huwezi kuamini kuna watu tunaumia sana kiti cha spika kinavyopendelea watu flani bungeni hadi tunafikia kumchukia mtu yyte wa chama cha ufisadi. Damu ya mwangosya na ulimboka ndio mahakama ya ccm 2015Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-60392360646363338182013-02-10T02:44:29.007-08:002013-02-10T02:44:29.007-08:00eetairTumekupata,Mh.,Hoja hako hii imetupwa leo bu...eetairTumekupata,Mh.,Hoja hako hii imetupwa leo bungeni hila ni dira ya kesho.Tuombe uzima ccm awafanyi research yoyote,WAMEIFUNGIA LEO KESHO WATAWAPA WATAALAMU WAO KUIFANYIA KAZI HILI KUFI 2015 UKIULIZA WASEMA MBONA TUMETEKEREZA.Sauti wa wachache ni sauti ya mungu,unawatatea wakazi DAR,wamo marais.mawaziri,majaji,madr.wabunge,wanafunzi,na kila mmoja na idara yake,UJUMBE ULISHAFIKA SIKU NYINGI,Mungu akubalike akuzidishie afya njema,Mungu ibariki CHADEMAMtaliihttps://www.blogger.com/profile/01040328466063433734noreply@blogger.com