tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post7070802597206632987..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Ujumbe wa Mbunge: Shukrani, Twende Kazi!John Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-27809142285455874062010-11-30T22:04:55.452-08:002010-11-30T22:04:55.452-08:00Mh.Mnyika,
Tunashukuru sana kwa mwanzo huu unao uo...Mh.Mnyika,
Tunashukuru sana kwa mwanzo huu unao uonyesha ni dalili njema.
Lakini naomba sana hoja yangu hii kufanyiwa kazi ni kuhusu kusahaulika kwa Chuo kikuu kiomoja nacho ni Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Kila mara viongozi wakuu wanapoongelea masuala ya elimu ya juu mara nyingi chuo hiki kinsahaulika kutajwa SI hivyo tu hata bajeti yake ni aibu kwa kweli Pia wanachuo wake upatikani wa mikopo umekuwa wa kutilia mashaka sio wote wapatao ukitilia maanani ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na vyuo vingine.
LAKINI wanasahau kuwa chuo hiki kinaweza kudahili wanafunzi wengi sana kwa wakati mmoja na hata kuondoa kabisa tatizo la watu kukosa nafasi za kusoma but hakina walimu wa kutosha na vitabu vimekuwa haba sana JARIBU kutembelea kituo chake kipo UBUNGO hapo pembeni ya Ubungo Plaza.Kuna watu wamelipa ada but hawajapata vitabu kumbukeni kuwa Chuo hiki kiko kila mahali mikoani...HEBU KITUPIE MACHO NA SIE WANACHUO WA CHUO HIKI....OPEN UNIVERSITY OF TANZANIAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-23784040078295299992010-11-28T23:23:21.516-08:002010-11-28T23:23:21.516-08:00Mheshimiwa Mbunge,
Salaam sana. Ama baada ya sala...Mheshimiwa Mbunge,

Salaam sana. Ama baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ili nisikuchoshe kwa maneno mengi.

Kuna eneo la kibamba ccm, ni kata ya Ubungo, ila linasomeka kama Mloganzila, wilaya ya Kisarawe. Eneo hili ni kushoto mwa barabara ya morogoro kuanzia kibamba kwa mangi hadi kibamba mwisho. Tafadhali hebu mtupatie ufafanuzi, MPAKA KATI YA KIBAMBA NA KILUVYA UPO SEHEMU GANI?

ShukraniAnonymousnoreply@blogger.com