tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post8829874662841952039..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Mwaka 2010: Pamoja TunawezaJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-35806155974261145162010-01-27T02:23:33.879-08:002010-01-27T02:23:33.879-08:00Mnyika, nimekupata barabara. naamini ulichokiandik...Mnyika, nimekupata barabara. naamini ulichokiandika ndicho kinachotakiwa kufanyika ili kufikia mabadiliko tunayoyatarajia. lakini nyenzo ni zipi?<br />Kuna mmomonyoko wa maadili ambao ni chanzo kikuu cha ufisadi, uongozi wa kupeana, rushwa, kutojali wanyonge, kutowajibika kwa viongozi na hata wananchi wa kawaida na mambo mengine kama hayo.<br />Tuanzie wapi sasa? Tuna kazi kubwa lakini ni lazima ifanyike tena kwa ustadi maalumu kama tunataka kuona mabadiliko katika nchi na jamii zetu.<br />Asante kwa mchango wako.Haroldhttps://www.blogger.com/profile/12071963974316574145noreply@blogger.com