tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post9124845214718414157..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Kauli ya Waziri Mkuu Pinda juu ya Rostam Aziz ‘imepinda’ na ‘inapindisha’ mamboJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-78982353671847627062011-10-03T05:34:27.383-07:002011-10-03T05:34:27.383-07:00Huyo bwana anayesema kachoka hoja za sheria ni mam...Huyo bwana anayesema kachoka hoja za sheria ni mamluki wa ccm hakika.Kama anamtetea rostam amshauri akafungue kesi mahakamani kwa kudhalilishwa kwamba ni mwizi.Kila mara tunawasikia Rostam na lowasa wanasema wamechoka kudhalilishwa wataishitaki chadema mara Mwanahalisi lakini hawafanyi hivyo sasa kama wanasingiziwa mbona hawafungui mashitaka wanayosema kila siku watafungua?Tafakari kabla hujatoa hoja zako ndugu.Na inaonyesha hauna uchungu na taifa lako lililobarikiwa kila kitu lakini bado tunaomba omba mataifa ya watu.Hii ni aibu kuu.Tulimtegemea sana Pinda lakini katuangusha sana.Yeye ni mwana wa mkulima jina na sio uhalisia wa matendo.EE MUNGU TUNAOMBA UIREHEMU TANZANIA NCHI YA MAZIWA NA ASALI LAKINI HATUIFAIDI HATA KIDOGO.AMEENAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-48915575439104903752010-08-26T00:58:37.553-07:002010-08-26T00:58:37.553-07:00John Mnyika,
Awali ya yote hongera sana kwa hoja ...John Mnyika,
Awali ya yote hongera sana kwa hoja zako unazozitoa kwa kweli nadiriki kusema zinagusa pale ambapo mamilioni ya watu wenye kupenda ukweli....mimi ndio nimejitokeza baada ya kukusikia katika BBC kwenye mjadala kuhusiana na TEKNOHAMA kwa wale waliosikiliza watakubaliana nami muda ungeongezwa kwani mafundisho yalikuwa mengi...
Nije katika harakati za kisiasa napenda nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuamua kugombea tena Ubungo...kama utakuwa na kumbukumbu uliwahi hojiwa na Jenerali Ulimwengu katika kinyang'anyiro cha 2005 msema kweli ni mpemzi wa Mungu watu wengi walifarijika sana kutokana na hoja ambazo ulizijenga kuhusiana na Ubungo,katika yote na ambalo bado nalishangaa ni kitendo cha Ubungo kutokuea na maji ili hali mabomba ya kutoka Ruvu yanapita hapo.NAPENDA NIKUTAKIE KILA LA HERI KATIKA VITA HII....HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
By Allan
Email allan.katondo@yahoo.comAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-2256150970097785832010-02-23T11:34:33.739-08:002010-02-23T11:34:33.739-08:00naomba nimjibu huyo bwana fulani hapo juu(anonymou...naomba nimjibu huyo bwana fulani hapo juu(anonymous) ambaye amechoka kusikia maneno ya wanasiasa.
Hivi usiposikiliza maneno ya wanasiasa ni vp utaijua siasa?usipoijua siasa ni vip utaijua system ya uongozi nchini kwako while leadership is all about politics?
kinachotakiwa ni wewe kuwa makini na hao unaowasikiliza,kuchambua kipi kinafaa na kipi hakifai.na waziri mkuu hata mimi hayaniingii akilini kwasababu sidhani kama alikwenda kuwaambia wananchi wamchague Rostam au la,ilihali wao wenyewe wanajua amewafanyia nini na kama anafaa au hafai.ray05https://www.blogger.com/profile/12073681806942834427noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-56235376954469327702010-02-22T23:07:42.390-08:002010-02-22T23:07:42.390-08:00Mnyika JJ,
Umejitahidi kujenga hoja nyingi kwa ku...Mnyika JJ,

Umejitahidi kujenga hoja nyingi kwa kutumia sheria zaidi ya mbili kuonesha Waziri Mkuu alikosea kumuunga Mkono Rostam.

Hivi List of shame ni uthibitisho tosha kuwa Rostam ni mwizi na alihusika na Kagoda?

nimechoka kusikia maneno na tetesi zisifanyiwa kazi na hii inaonesha ni maneno tu kama alivyosema mheshimiwa Pinda.

kama una ushahidi tosha wa Rostam kuhusika basi ufikishe mbele ya sheria!

nimechoka kusoma mawazo ya wanasasa wanaopenda mambo mepesi mepesi na kujiunga kwenye mkumbo.

hili ndilo tatizo kubwa sana na vyama vya upinzani vya nchi yetu;hamjipangiAnonymousnoreply@blogger.com