tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post93456193183011140..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Hatma ya Bajeti ya Nishati na MadiniJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-61825038650090825382011-08-11T08:16:18.395-07:002011-08-11T08:16:18.395-07:00Asante Mh Mnyika, kweli siku hizi tuna viongozi wa...Asante Mh Mnyika, kweli siku hizi tuna viongozi wa kisasa, nashukuru kwa majibu.
Sidhani kama wakina magamba wangethubutu hata kufanya mnayofanya (except Mh Makamba!).Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-52693072796213815822011-08-11T07:52:43.130-07:002011-08-11T07:52:43.130-07:00Nitaanza harakati dhidi ya DAWASCO kuanzia wiki ij...Nitaanza harakati dhidi ya DAWASCO kuanzia wiki ijayo kuelekea bajeti ya Wizara ya Maji tarehe 22 Agosti 2011. MnyikaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-4816702836365743252011-08-10T12:36:04.694-07:002011-08-10T12:36:04.694-07:00Mh Mbunge Mnyika. Hivi kwanini DAWASCO hawasimamiw...Mh Mbunge Mnyika. Hivi kwanini DAWASCO hawasimamiwi kidedea kama TANESCO?
Tuna vyanzo vingi vya maji, hawa jamaa wala hawachimbi, wala kusambaza na pia hata uwajibikaji wao wa kutusambazia huduma ya lazima wala hawana habari nayo.
Zaidi tu tunasikia wanaohusika kutajwa kuwania nafasi ya uraisi bila ya wao kutuonyesha wanatujali kivipi sie wananchi.
Huduma ya MAJI na UMEME, kwa wananchi Mh. Mnyika ni ya LAZIMA.
Ebu ipigie debe tuweze kufaidika.Anonymousnoreply@blogger.com