tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post1085254659071992057..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Richmond, Dowans and Operesheni Safisha MafisadiJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-4104016467102600332009-03-21T02:06:00.000-07:002009-03-21T02:06:00.000-07:00Wapendwa,Masahihisho katika makala yangu hapo juu....Wapendwa,<BR/><BR/>Masahihisho katika makala yangu hapo juu. Ni dola milioni 41 badala ya 14 na dola bilioni 60 badala ya 30. Lakini maudhui yabaki pale pale. Na sasa mjadala mkubwa zaidi unapaswa kuendelea kuhusu nani hasa ni mmiliki wa Dowans? Kutokana na utapeli uliojificha katika vivuli mbalimbali toka wakati wa Richmond. Kwanini baadhi ya mitambo isitaifishwe hususani kwa ajili ya kufidia madeni kutokana na fedha ambazo serikali ilitoa na hasara katika kipindi ambacho hatukupata umeme? Mpaka sasa deni lililothibitika Dowans inadaiwa na serikali zaidi ya bilioni 8, vipi kuhusu madeni yaliyojificha?<BR/><BR/>JJJohn Mnyikahttps://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.com