tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post1828005450484029744..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: KAULI YA WAZIRI WA FEDHA KUHUSU KODI YA LINE ZA SIMU NI KIELELEZO CHA UDHAIFU WA SERIKALI NA UZEMBE WA BUNGE; NIANDIKIE SASA KUHUSU HATUA ZA KUCHUKUA JUU YA SUALA HILI KUPUNGUZA MZIGO WA GHARAMA ZA MAISHA KWA WANANCHIJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-31137692039718237872013-07-22T09:26:02.089-07:002013-07-22T09:26:02.089-07:00Inaumiza, imasikitisha na inakera.Kungekuwa na jin...Inaumiza, imasikitisha na inakera.Kungekuwa na jinsi ningekimbia nchi..Wafanyabishara wanaingiza mabilion, hawakatwi kodi ama kodi inayopatikana wanagawana na maafisa wa TRA na kudanganya mapato yao halafu wanakuja kuwaumiza wananchi wa kawaida. HAPANA HAPANA. I SAY NO TO KODI YA SIM CARD NA NO TO O.25% DUTY ON MONEY TRANSFER..NO NO NOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-15308597376618322782013-07-19T15:15:04.762-07:002013-07-19T15:15:04.762-07:00Nimeisoma bajeti yote na sijaona kodi hii. Nilicho...Nimeisoma bajeti yote na sijaona kodi hii. Nilichoona ni ongezeko la asilimia 2.5 kwenye kodi ya simu za mkononi badala ya airtime kama ilivyokuwa.
Sasa hii 2.5% inahusianaje na shs 1000?- kwa mwezi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-31696858501176021702013-07-16T12:16:02.549-07:002013-07-16T12:16:02.549-07:00Mimi nafikiri tuisiishie kuwapa wawekezaji migodi ...Mimi nafikiri tuisiishie kuwapa wawekezaji migodi tu,bali hata nafasi ya Rais na Waziri mkuu tutafute wawekezaji maana hawa hawatufai kabisa.
Heri utawaliwe na mende lakini sio hawa jamaa magamba. Mafuta ya taa walipandisha ili magari yao yasiharibike ila sisi tusio na magari tuumia tu maana sisi tuna vibatari. Yaani walalahoi tuko wengi kuliko magari yao lakini sisi hata tufe ni bora kuliko magari yao.Leo hii tena laini za simu du. Ee Mungu ikiwezekana kikombe hiki(CCM) kituepuke si kwa mapenzi yetu bali kwa mapenzi yako. Tumeichoka hii serikali na iende tu kuzimu maana haistahili kwenda peponi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-53769897086576374322013-07-13T00:17:38.520-07:002013-07-13T00:17:38.520-07:00Swali kwenu waheshimiwa wote (Wabunge,Mawaziri,n.k...
Swali kwenu waheshimiwa wote (Wabunge,Mawaziri,n.k). Ni kweli mlipitisha maazimio ya kuwatwisha mzigo wapiga kura wenu kwa tozo hizo la simcards, 1000/=? Je mkirudi kwenye kampeni 2015 mtawashawishi vipi wapiga kura wenu ili wawachague tena mkawakandamize na hiyo mizigo mizito mnayowatwisha? Nawaonea huruma, kwani wengine watapiga magoti na kutoa machozi bure! Au ndo ule usemi,"ALIYENACHO AONGEZEWE na ASIYENACHO ANYANG'ANYWE KIDOGO ALICHONACHO? Jamani muwe na huruma kwa Watanzania wenzenu na mkumbuke mlikotoka!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-89196738088017191042013-07-13T00:06:22.535-07:002013-07-13T00:06:22.535-07:00Kwenye kikao kijacho cha bunge, 27 August 2013 nap...Kwenye kikao kijacho cha bunge, 27 August 2013 napendekeza kumlipisha mwananchi wa kawaida 1000/= kwa mwezi SI SAHIHI. Jamani ,ni kweli tozo za magari bandarini zimepanda na husikii mwananchi yeyote akilalamika kwa sababu hawaguswi sana LAKINI hili la laini za simu, CHONDE! CHONDE! Lifutwe la sivyo mwataka sema siku hizi kuwa na simu ni anasa kama pombe,sigara,magari? SIMU ni sawa na MAJI yaani uhai ,USIPOYANYWA basi UTAYAOGA! Inasikitisha sanaaaa...! Isaya Sambonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-6069663160273292612013-07-13T00:03:59.726-07:002013-07-13T00:03:59.726-07:00
Kwenye kikao kijacho cha bunge, 27 August 2013 n...
Kwenye kikao kijacho cha bunge, 27 August 2013 napendekeza kumlipisha mwananchi wa kawaida 1000/= kwa mwezi SI SAHIHI. Jamani ,ni kweli tozo za magari bandarini zimepanda na husikii mwananchi yeyote akilalamika kwa sababu hawaguswi sana LAKINI hili la laini za simu, CHONDE! CHONDE! Lifutwe la sivyo mwataka sema siku hizi kuwa na simu ni anasa kama pombe,sigara,magari? SIMU ni sawa na MAJI yaani uhai ,USIPOYANYWA basi UTAYAOGA! Inasikitisha sanaaaa...! Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-37304225379339335952013-07-12T04:21:52.421-07:002013-07-12T04:21:52.421-07:00Mi nauliza wale ndugu zangu wa kule nyasa ambao kw...Mi nauliza wale ndugu zangu wa kule nyasa ambao kwa mwezi anaweka vocha ya sh 500 au jititatu atalipaje au atalimbikiziwa deni. Ifike wakati sasa tukodi rais,na mawazili wazungu wakituchosha kama hivi tunawafushaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/07984096491088569275noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-23988028483390900142013-07-12T02:43:28.043-07:002013-07-12T02:43:28.043-07:00Hapa mweshimiwa ccm badala ya kukaa na kujadili ma...Hapa mweshimiwa ccm badala ya kukaa na kujadili mambo ya msingi wanajadiri ujinga...mf Mabomu yalivolipuliwa Arusha chdm wakasema rais aunde kamati ya kimahakama kuchunguza ili jambo Kikwete kakas kimya,lakini alipockia Chadema sasa wanataka wawafundishe vjna wao kujilinda,hl ndo kalisikia eti anakemea vikundi vya mgambo...mm hapa najiuliza hv washauri wake ndo wanampotosha au inakuwaje? Yaani Tz hatuna viongozi labda Obama aje atuongoze.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-58763914572482544122013-07-12T00:12:50.806-07:002013-07-12T00:12:50.806-07:00Aisee, huku ni kutufirisi wananchi. mimi naamini k...Aisee, huku ni kutufirisi wananchi. mimi naamini kila tunaponunua vocha kuna sehema ya kodi tunayolipia. Elfu 1 kwa mwenzi ni pesa kubwa sana kwa mtanzania. Wafikilie tena kwakwel la sivyo 2tarud kwenye barua na ndipo tutazidi kuachwa nyuma kimaendeleoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-21356005523199479932013-07-11T22:52:18.953-07:002013-07-11T22:52:18.953-07:00Kwa kweli hii ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwan...Kwa kweli hii ni kuongeza ugumu wa maisha kwa mwananchi pasipo sababu za msingi . serikali imetoa misamaha kwa wawekezaji wa madini na matokeo yake ni kuachiwa mahandaki ambayo hayana manufaa kwetu . Unknownhttps://www.blogger.com/profile/12192872813141451008noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-87493824163884606872013-07-11T11:44:58.367-07:002013-07-11T11:44:58.367-07:00ndugu yangu mnyika elimu uliyotoa ni nzuri sana ni...ndugu yangu mnyika elimu uliyotoa ni nzuri sana ni kweli tunaumia sana lakini kuna wananchi wasio jua hili hivyo ningeomba kama uwezekano upo muwazungukie wananchi nchi nzima mi nadhani watawaelewa japo hata mimi mahali nilipo nitawaelimisha wananchi wanaonizunguka ili mwisho wa siku tuuzike ufisadi huuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-73711362564453012522013-07-11T10:23:01.206-07:002013-07-11T10:23:01.206-07:00Tumechoka kukandamizwa na serikali inayoongozwa na...Tumechoka kukandamizwa na serikali inayoongozwa na watu wasiokuwa na huruma kwa wanyonge wake. Athari ya kodi ya sh 1000 ya laini ya simu ni kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuongeza gharama ya maisha ya mwanainchi wa kawaida mara dufu, hivyo kuongeza kiwango cha umaskini tanzania. Hata hivyo walio wengi vijiji hutumia credit chini ya sh 1000 kwa mwezi kwa maana wengine wanasimu kwa kwa ajili ya kupokea tu kutoka kwa ndugu zao walio mbali. Kwanini serikali isitoze kodi kwa makampuni makubwa zilizowekeza nchini wanaotumia rasilimali zetu kwa manufaa yao tu? Serikali imeshindwa kucontrol mapato yake maana kuna makampuni na watu binafsi wanaofanya biashara lakini hawajatambuliwa na pengine wanafanya biashara kwa njia ya rushwa ili wasitozwe kodi. kuna mianya mingi ambazo hupoteza mapato ya serikali matokeo yake hii serikali isyomakini inakandamiza wanyonge kila mwaka huku gharama za maisha zikiendelea kuongezeka siku hadi siku. Hivi Mh. Mkapa aliwezaje kuthibiti mfumuko wa be kwa miaka yote kumi lakini serikali ya sasa mfumuko umeongezeka mara tatu na zaidi? Ni wakati wa kujitafakali sisi wanyonge ili tuweze kuchukua hatua dhidi ya serikali tulioiweka madarakani kwani imeshindwa kufikiri mbinu dhabiti ya kuongeza mapato yake.

Hata fedha zinazokusanywa haziwafikii wananchi ipasavyo maana wamegaji wa bajeti wamekuwa wengi ili wajinufaishe wenyewe. Wabunge mmepewa madaraka ya kuihoji udhaifu wa rais, kama ameshindwa basi aiachie ngazi, maana amekuwa rais wa kutuumiza sisi tuliyemuweka. HAKUNA KUTOZWA KODI YA LAINI, NA KATIKA HILI NI BORA TUSIWE NA WAWAKILISHI (WABUNGE) WANAOSEMA NDIYO KWA KILA KITU KWENYE VIKAO VYAO VYA BUNGE. CCM MMEZIDI KUTUBURUZA. MH. Mnyika tunakuomba upeleke hoja binafsi bungeni ya kupinga kodi hii na sisi tutakuunga mkono.

Lets accept change, we can't be ruled by the government with narrow thinking mind in collecting tax for its people's development and we are tired of you (Government) Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-39449732560116357662013-07-11T09:41:19.732-07:002013-07-11T09:41:19.732-07:00hapana,hapana hapana kutukata kodi..makampuni ya s...hapana,hapana hapana kutukata kodi..makampuni ya simu ndio walipe na sio sisi..kwanza wanatuibia tu kila siku makato ktk cm..sitaki,nasema sitakiiii uuuuuwi,ukungaaaaaaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-19093618276601230102013-07-11T09:22:14.369-07:002013-07-11T09:22:14.369-07:00Serikali ya ccm halina jipya limefilisika kila ida...Serikali ya ccm halina jipya limefilisika kila idara na sekta zote, garama za maisha zipo juu, serikali imeshindwa kutafuta njia mbadala ya kumpunguzia mwananchi wa kawaida mzigo wa kodi nyingi badala yake wanazidi kutubana. Misamaha ya kodi kibao...! Tumewachoka wenye magamba.Anonymousnoreply@blogger.com