tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post6069163530517414944..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Kauli yangu kuhusu uuzwaji batili wa hisa na mali za UDAJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-23700505299591221822011-08-11T04:51:18.468-07:002011-08-11T04:51:18.468-07:00DAWA NI KUKOMAA MPAKA KIELEWEKE NIVIZURI KUWEKA MA...DAWA NI KUKOMAA MPAKA KIELEWEKE NIVIZURI KUWEKA MAMBO SAWA MUDA NDOO HUU CCM INAPUNGUA UMAARUFU NA TENA VIONGOZI NA WANACHAMA WAMEPAGAWA HAWAJUI WAPI WASHIKE ILI KURUDISHA IMANI KWA WANANGHI MIMI KAMA MWAKATAGE NAOMBA TU TUWENA MSIMAMO ISTOKEE SISI KURUMBANA TUKAWAPA SIFA MAFISADI KUTUONGELEA NIMIMI MWAKATAGE CHADEMA DAMUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-72640159372879124552011-08-11T04:44:05.155-07:002011-08-11T04:44:05.155-07:00kaka na mheshimiwa mimi kama mtanzania niliyechoka...kaka na mheshimiwa mimi kama mtanzania niliyechoka na UFISADI niko nyuma yako nakuombea wewe pamoja na wabunge wengine wenye msimamo kama wako, OMBI tujaribu kuwaelimisha watu wavijijini kwani ndiko tunakoanguka tufanye mikutano huko mara kwa mara ilikuwatoa kwenye giza la ujingaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-27055631616929334432011-08-08T13:22:43.371-07:002011-08-08T13:22:43.371-07:002po pamoja na wbunge wanaolitetea taifa katika ufi...2po pamoja na wbunge wanaolitetea taifa katika ufisad na mambo mengine yenye maslai kwa taifa.mh 2naziona juhud zako 2po nyuma yako.upo mkini katika mambo yako endelea na moyo huo huo na MWENEZI MUNGU atakujaalia.wing wao bungeni usiwachoshe endeleen na moyo huohuo sisi tupo nyuma yenu!!hakuna kitakachoishinda nguvu ya umma...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-51248140079961977132011-08-04T00:33:35.381-07:002011-08-04T00:33:35.381-07:00Jamaniii ONLY in Tanzania you can do that...watu w...Jamaniii ONLY in Tanzania you can do that...watu wa Dar es Salaam tuko wapi kusimama nyuma ya Mnyika?? tuwe nyuma ya Mnyika tuokoe hii nchi.Anonymousnoreply@blogger.com