tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post6432229630809923563..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: WIKI YA MADAI YA MAJIJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-31809718536263978342012-03-20T01:22:53.972-07:002012-03-20T01:22:53.972-07:00"water recyling" siyo idea mbaya mm nao..."water recyling" siyo idea mbaya mm naona kwasababu kwanza moja kwa moja unaondoa tatizo la maji taka,pili wakati huo huo unasababisha upatikanaji wa maji safi,lakini zaidi unabana matumizi ya maji yaliyopo......sasa kama dawasa,morowasa,mwawasa nk hili hawakuliona ....mdau wa hapo juu amewafungua macho.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-43308362254976696762012-03-20T01:15:05.723-07:002012-03-20T01:15:05.723-07:00Jamani mimi naiunga hii hoja mkono na mguu. Dar na...Jamani mimi naiunga hii hoja mkono na mguu. Dar na Tanzania yenye maji safi inawezekana kabisa tukiamua na tukiungana kwa pamoja na kwa nia thabiti kutaka maji safi.........kwasaabu Tanzania kuna vyanzo vingi tu vya maji lakini cha ajabu hata nchi zenye jangwa eti wana maji mengi na salama kuliko hata siye.Ila lingine la muhimu ni siye kama wananchi pia kuonesha na kupendekeza njia mbali mbali ambazo zitaongeza upatikanaji wa maji safi na salama kama tunaona serikali na taasisi husika haiwezi kuziona njia hizo.Mfano mm ningesuggest tuwetunafanya water recyling kama njia moja wapo ya kutunza maji yaliyopo.Kelkafhttps://www.blogger.com/profile/13131339127999501729noreply@blogger.com