tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post8104449484155210581..comments2023-10-30T07:21:39.266-07:00Comments on JOHN MNYIKA: Taarifa kwa umma kuhusu serikali kupandisha bei ya umemeJohn Mnyikahttp://www.blogger.com/profile/06318351914677487946noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-18902493203079148672013-11-29T01:25:14.149-08:002013-11-29T01:25:14.149-08:00Tumezoea aman sana ya kijinga tz,ingekuwa nchi zin...Tumezoea aman sana ya kijinga tz,ingekuwa nchi zingine wananchi wangeandamana kumtaka wazir na naibu wake wajiuzulu... Mi naona ccm wanakusanya pesa kwa njia haram ya kuwakomoa watanzania kwa ajil ya uchaguz wa 2015..bei ya umeme kubwa sanaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/14004542688354710209noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-26124685258952557322013-11-28T15:40:02.976-08:002013-11-28T15:40:02.976-08:00Hawa watu wakiongea tuwe na clip au voice zao tuna...Hawa watu wakiongea tuwe na clip au voice zao tunaweka wasije kusema Hiyo Kauli hawajaisema ni Kauli chafu sana na yenye zarau na inaonyesha hawajali watu. Ila na sie tuangalie ukweli wa umeme sio tu sababu umepandishwa tunawaka kuwe na sababu why umepanda ? ukipungua kwa sababu zipi? sio sababu umepanda kwasababu sie Chadema tuonyeshe wananchi sie usingepanda au kuwapandishia wananchi tuwe na sie Kama Chadema Pengine tungekuwa serikalini ungepanda na kwasababu zipi, ila sio kuweka Kauli chafu na za zarau. MZAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-25811015804317300932013-11-28T04:47:29.714-08:002013-11-28T04:47:29.714-08:00Mimi nachoomba serikali iwaangalie wananchi, jinsi...Mimi nachoomba serikali iwaangalie wananchi, jinsi maisha yalivyo magumu na bado inataka kuruhusu bei ya umeme ipande,Tusipokuwa makini tunaelekea pabaya.Nathan Juniorhttps://www.blogger.com/profile/05810965976995062026noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-68809063875479118312013-11-27T23:07:11.407-08:002013-11-27T23:07:11.407-08:00Simba amenisononesha sana, sio kauli ya kiungwaa m...Simba amenisononesha sana, sio kauli ya kiungwaa mbali na kwamba alilozungumza halimponyi maskini zaidi ya kumuumiza. Taifa kua na kiongozi mwenye ulimi kama 'huu' ni sikitiko timilifu!!"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-52282415083512601592013-11-27T21:32:36.313-08:002013-11-27T21:32:36.313-08:00Watananzania ni watu wenye asili ya uwoga tangu za...Watananzania ni watu wenye asili ya uwoga tangu zamani. Hivyo kuna wakati mwingine wananyamaza kimya kungali kuna mapungufu. Leo hii inafika hatua muwajibikaji wako anakupandishia bei ya umeme harafu anakukejeli eti <b>kama unashindwa kuimudu basi washa kibatari au ukae giza</b> . (hajakamilika kiakili)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-15679325303411311382013-11-27T21:25:08.667-08:002013-11-27T21:25:08.667-08:00Wewe Mnyika wala hata usihangaike sana,usije kung&...Wewe Mnyika wala hata usihangaike sana,usije kung'olewa meno na kucha bure! Tumeshazoea kunyonywa na Serikali yetu mpaka tumekuwa sugu! Majibu watayapata 2015 kuwa unyonge una mwisho!<br />Viongozi wanaongea ovyo,watu wanalala njaa wao wamekazania kupandisha bei za Luku. 2015 Magamba hamrudi,na tukishachukua nchi yetu,wale mafisadi wote tuwapeleke The Hague baadae wakaozee GuantanamoSWEETBERT RWABUKAMBARAhttps://www.blogger.com/profile/17160828283449508361noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-74302110690779976232013-11-27T21:12:54.536-08:002013-11-27T21:12:54.536-08:00Chini ya serikali ya ccm hakutakuwa na unafuu wa m...Chini ya serikali ya ccm hakutakuwa na unafuu wa maisha kwa watanzania masikini. Kwakuwa viongozi wa ccm na serikali yao ni wapumbavu wameiingiza nchi katika mikataba ya kinyonyaji ili wajinufaishe kwa mikataba hiyo.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14637098958154821396noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7405076116754779487.post-44518051570422166962013-11-27T20:42:23.521-08:002013-11-27T20:42:23.521-08:00Viongozi watanzania wana kauli chafu sana sasa ku...Viongozi watanzania wana kauli chafu sana sasa kumwambia mwananchi eti kama bei ya umeme ataiona kubwa ni bora awashe kibatali au akae giza ndyo maana yake nini sasa! Viongozi mbadilike hizo sio kauli za kuwananchi wenu mnao waongozayesyeshttps://www.blogger.com/profile/01811898588538778162noreply@blogger.com