Nashukuru sana wananchi ambao walikuwa wanajitokeza toka majumbani na kuja kunilaki!pia nawashukuru sana wale wote ambao waliungana nasi mpaka Mburahati ambako nilihutubia.



"Mheshimiwa kichochoro hiki kitatufikisha mapema na kwa urahisi zaidi"

Nilishuhudia wakina mama wakijitokeza na watoto wakiwa wamewabeba wakija kuniangalia na kunisabahi.Nawaomba kama mlivyojitokeza, tafadhali mjitokeze kwa wingi sana ninyi na marafiki zenu(shosti) wote katika kunipigia kura Oktoba 31, 2010.

Hawa walinipa hamasa na faraja sana pale walipoona msafara wangu unakuja kwa miguu waliponyoosha alama ya "V" alama ya CHADEMA!

kweli kaka mwanaume kugangamala, 2tafika
ReplyDeleteInshallah, Mungu atatufikisha. Pambana kaka.
ReplyDeleteEee Mola Muone mja wako
ReplyDelete