Changia

M4C Dar es Salaam. Tunayo Nguvu.

"Watu kuongelea mabadiliko, wengine ujaribu kuyaepuka na wachache ushiriki kuyaleta"

Changia sasa kupitia M-Pesa.

111333


3 comments:

Anonymous said...

Pole na kazi.
Mimi nilikuwa na hoja niseme. Ni watu wengi sana wamepoteza maisha kwa sababu ya ajali za barabarani.
Lakini mpaka sasa leseni za kuendesha magari bado unaletewa nyumbani, ukitoa laki moja unaletewa mbaka ulipo. Kwa mtazamo wangu naona chanzo cha ajali nyingi ni uzembe unaotokana na kutojua Sheria kwa vile hakuna mafunzo yoyote anayopata kwa vile akijua kuingizia gear tu ameshakuwa dereva.
Je hata Hilo pia serikali limeshindwa ?
Wazo kuu- Je vyuo vya mafunzo vipo vingapi ? Uwezo wake,na Je kila dereva anapitia chuoni ,muda gani ? Nk
Jaribu kui frame vizuri unaweza kusaidia.

mfichua maovu said...

Kwa hali hii wanaotekwa lazima wakae kimya wasiwataje wanaowateka na kuwasulubu watabaki kimya maisha yao yote.
tembelea
www.youtube.com
search ULIMBOKA ON SCENE
http://www.youtube.com/watch?v=ULaxj2rh3Ac

Anonymous said...

Mbona hii blog haipo updated? Toka mwanzon mwa mwz naona habar ni ilelile! Napenda kutembelea hii blog lkn sipati habar mpya! Mkuu najua uko busy, waonaje kama ukitafta kijana na kumpa ajira ya kucontrl blog yako, tupate update kwan moja ya sifa ya blog ni kuwa updated, kama ukiweza yu can hire someone as bloger for your blog, na pia utakuwa umetoa ajira kwa vijana kujiweza kiuchumi!