18Mh. mnyika nashindwa kuelewa kwanini hufuatilii tatizo letu la barabara ya msewe-chuo, huwezi hata kuona makongo wanachokifanya?. hatutaki mbwembwe basi hata changarawe iliyomwagwa hongera bar road utumwagie na sisi, tupunguze vumbi jamani. au ndi umeshiba madaraka?. mimi bila barabara unaniboaaaaaaaaaaaaa. kwa uchungu ni mm mkazi wa msewe shule ya msingi.
1. Think about some quick win projects for your consituency because 2015 is not far. 2.Go in for shallow and deep water wells in areas with acute water shortages. 3. Arrange with SUMATRA to introduce public service transport on Mbezi Mwisho -Kinyerezi road. 4.Do the same for other difficult but passable roads. 5. Do something for Urafiki/Mabibo soko la Ndizi.It is a source of livelihood for thousands of voters.
Sis Wana nchi tuko Na CHADEMA ...... tuna taka mabadiliko kamili .... hatu taki mbwembwe...... tuna omba CHADEMA muendelee kama tu mlivyo kuwa hapo mwanzo .... kasi ile ile .... kwa namna hiyo ... lazima CCM wata kimbia .... hasa hao mafisadi wata kimbia wenyewe ...
habari ya asubuhi ndg,naomba kukupa taarifa juu ya ufisadi unaoendelea ndani ya dawasco hadi kusababisha kutokupatikana kwa maji katika maeneo ya ubungo,kibangu,makuburi na tabata kwa ujumla. Ndani ya dawasco wamewahi kununua pump mpya 2 ndani ya miaka 2 zote hazifanyi kazi,nadhani ni kutokana na kununua zilizo chini ya ufanisi unaotakiwa,na yote ni 10% katika manunuzi. Hadi sasa mtambo wa ruvu juu unazalisha maji kwa hasara yaani pump inatumia umeme mwingi,madawa mengi ila uzalishaji ni kidogo kutokan na pump haina ufanisi wa kutosha. Tafadhali fuatilia kwani limekaa kisiasa zaidi. Mfanyakazi wa dawasco
Mheshimiwa Mnyika, Nimefurahia michango yenu kihusu gesi ya asili.
Maoni yangu ni kwamba:- 1. Gesi hii inatakiwa itumike kwaajili ya kuzalishia umeme. Hii itaokoa gharama za ununuzi wa mafuta yanayotumika kuzalishia umeme.
2. Tunatakiwa kutumia gesi kwa kuendesha magari kama wanavyofanya India. Huko india magari makubwa kwa madogo hata bajaji zinatumia gesi. Hii itaondoa gharama za uagizaji wa Petrol, Diezel na mafuta ya taa toka nje. Matumizi ya gesi katika kuendesha magari hayachafui mazingira (hewa). Katika matumizi ya taifa ya pesa za kigeni za ununuzi wa mafuta ndio unaoshikilia namba moja katika matumizi yote. Iwapo pesa hizi zitaokolewa zitawekwa kwenye matumizi ya maendeleo ya taifa. Pesa hizi ni nyingi sana, hatuhitaji kuuza nje ya nchi (export) gesi iliyosindikwa ili kupata pesa za maendeleo.
Tukumbuke kwamba nchi nyingi za Africa zinazouza mafuta nje, mapato yake hayajaweza kuleta maendeleo katika nchi hizo.
Kwahiyo mapendekezo yangu ni kuwa viwanda vinavyotaka kusindika gesi na kuuza nje, visimamishwe kwanza mpaka mahitaji ya ndani yametosheleza.
3. Gesi inatakiwa itumike kwa matumizi ya majumbani ili kuondoa gharama za kuagiza gesi(LPG) inaayotumika kwa sasa na kunusuru mazingira (kupunguza matumizi ya kuni na mkaa).
Mheshimiwa Mnyika, ni matumaini yangu kuwa utafanyia utafiti maoni haya na ushauri wangu na kuufikisha Bungeni kwaajili ya utekelezaji kwa manifaa ya Watanzania wote.
Tembele blog ya www.bungelawote.blogspot.com uweze kujadili mada mbalimbali na pia utapata downloads ya Windows 8(32bit & 64 bit) na zaidi unaweza kutuma SMS na kupiga simu bure ukiwa hapo, temebelea sasa, www.bungelawote.blogspot.com
AM ELIAS RAJAN KALIDAS FROM KIMARA BARUTI, DAR ES SALAAM. I WOULD LIKE TO PRESENT TO YOU MY GRIEVANCE ABOUT NIKO INSURANCE TANZANIA.ITS BEEN ALMOST 5 YEARS NOW SINCE MY DAD MR RAJAN LALJI KALIDAS, 69 YEARS OLD WAS INVOLVED IN A CAR ACCIDENT ON 8/04/2008 AT UBUNGO, MOROGORO ROAD.THE TRUCK WHICH CAUSED THE ACCIDENT HAD A COMPREHENSIVE INSURENCE COVER INSURED BY NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED.NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED AS AN INSURER DELAYED COMPENSATION AND HAD SINCE REFUSED TO TO COMPENSATE MY DAD'S CAR (TOYOTA NOAH) WHICH WAS TERMED WRITE-OFF BY POLICE AND BY ONE OF YOUR AGENTS IN THE YEAR 2008.
WE HAVE OPENED A CASE AGAINST THE INSURED AND THE INSURER THAT IS NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED SINCE 2009 BUT, HOWEVER, FOR THE LAST 3 YEARS OR SO THE TWO PARTIES HAVE BEEN ACTIVELY INVOLVED IN MANIPUTATING THE WHOLE TRIAL AND THUS DELAYING THE HEARING UPTO THIS DATE.
YESTERDAY 5TH APRIL 2013 WAS ANOTHER DAY OF HEARING BUT AS PER OUR EXPECTATION IT WAS AGAIN PUSHED TO 24TH APRIL 2013.
ONE THING I DONT UNDERSTAND IS WHY IS NIKO INSURANCE TANZANIA LTD DOING THIS TO MY DAD AND EVERYBODY INVOILED IN THIS CASE? WHAT IS THE REASON BEHIND THIS? DOES NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED REALLY KNOW HOW MUCH TIME THEY HAVE WASTED ON MY DAD, YOUR CLIENTS, AND THE GOVERNMENT? DO YOU REALLY KNOW HOW MUCH COST AND OTHER EXPENSES DOES MY DAD, MY GOVERNMENT INCURS TO RUN AND FOLLOW UP IN THIS CASE?
PLEASE UNDERSTAND THAT NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED, IS NOT BEING FAIR TO MY DAD, THEIR CLIENTS, MY GOVERNMENT AND MY COUNTRY AS A WHOLE. I EMPLOY NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED AND EXPRESS MY SINCERE REQUEST TO YOU MY PARTY, CHADEMA,MY FRIENDS AND FANS FOR MY DAD TO GET HIS JUSTICE AND RECEIVE HIS COMPESATION AS SOON AS POSSIBLE.

Pole kwa kazi mheshiwa Mbunge; Naomba ufuatilie kwenye Serikali kwa kuhoja kwa nini wanasitisha kupandisha vyeo watumishi wa umma kwa mwaka 2012/13 wakati fedha zilitengwa lakini wanaairisha, kuna hapo kama sio ufisadi na kutowajari watumishi kama Mheshiwa rais alivyosema wakati wa kampeni kuwa hata kura zao, lakini vyeo ni haki zetu za msingi ndg mheshiwa. Mungu akubariki
Mh Mnyika huku Tulawaka hatujui ni nini serikali ya CCM inatumbia kwani huku tinaambiwa mine closure wao wanasema wanakuja STAMICO. Hapo Mh wafanyakazi wanaona kama wanaenda kudhulumiwa na wangependa ufafanuzi
tunategemea uwajibikaji wenu wa hali na mali katika kulipitisha taifa hili katika njia ambaayo sisi watanzania wengi wao tulio maskini tunaweza kupata ahueni na janga hili la gap la walionacho na wasionacho,na pia changes ni lazima,na watawala wa nchi hii nchi imewashinda lakini wanang'ang'ania......nchi ni imeuzwa na watu wachache....kiukweli tumechoka sana tena sana...hakuna wa kumficha mtu kwa jambo lolote lile katika dunia hii iliyo kwenye viganja vya mikono...it was just comment...thanks..M4C
Hellow MR MNYIKA!! Honour to u!! Conglatulations for the nice work that u daily done on the society!!well am orphan girl studied at open university taking a degree of social work in a second year now,,but am faced with FINANCIAL PROBLEM please help me to pursue on my studies please!!so that in future I will be able to help my fellow womans who are in need,,,,,,am badly in need of ur help HONORABLE JOHN MNYIKA please am berging u to help me on fulfiling my studies &i will show u all of my certificates so that u can prove that am real in need of this help,,,,,,,here is my email adress leilayuris@yahoo.co.uk 0715256777 hope u will kindly help me,,thanks be blessed!!
MPANGO WA KUWA UONGOZI IMARA WA MISINGI NI MUHIMU SANA SI KWA JINSI MNAVYO FIKIRI,MATAWI TULIYO NAYO SIDHANI KAMA KUNA MIPANGO NA MIKAKATI THABITI YA KUMKOMBOA MTANZANIA KATIKA UMOJA WETU,MIKAKATI YA UKOMBOZI INA ANZIA CHINI,TAHADHARI TUSIPOTEZE NGUVU ZETU CHAMA KIKAPOTEA KAMA NCCR MAGEUZI
TAFAKARI SANA HILI WATANZANIA TUNA NEEMA SANA LAKINI VIONGOZI KUANZIA NGAZI YA MSINGI MPAKA MWENYEKITI WA TAIFA TULIONAO WAPIMWE WANAUWEZO (CHADEMA)WAKUIKOMBOA NEEMA HII KUTOKA KWA MAFISADI CCM NA KUJENGA PALIPOBOMOKA,SIASA YA VYAMA VINGI SI LELE MAMA AU MAIGIZO NI VITA NGUMU,NI MIPANGO YA KUWAACHISHA KUNDI KUBWA KAZI
tafadhali sana shughukia barabara ya Ubungo maziwa, ile barabara inasaidia sanaaaaaa foleni, ukiwa unatokea mjini ukifika kwenye yale mataa ya ubungo / shekilango unaingia hiyo njia unatokea EPZA kwenye mataa ni safiii sanaa. Hata ukiwa unatokea Tabata unaelekea mjini au sinza baada ya daraja la jipya ubungo maziwa / mahakama ya ndizi basi unanyoosha na hiyo njia Ubungo maziwa / makaburini, ni safii sanaa. Ila kwa sasa barabara imeharibikaaaaa sanaaaaa mashimo, mahandaki, maji, mabondee... Mbunge ebu shughulikia basi jamani hiyo njia, usiweke rami weye iparuze tuu sisi tutapita..
Nimejaribu kukutumia maoni yangu yenye mambo ya msingi kwenye blog hii imeshindikana. Ninaomba kama una email unitumie kwenye raiamwema70@gmail.com. Tafadhali zingatia ni muhimu sana Mheshimiwa.
mh. mbunge, kwa wakazi wa makabe na sehemu zinazotuzunguka, kero yetu kubwa ni maji na barabara. sisi kama wanamakabe tuna kikundi kilicho na lengo la kutatua baadhi ya kero za wakazi wa makabe. tunaomba ututembelee, barua rasmi itatumwa ofisini kwako. exuper 0786 402523. exuperm@yahoo.com
Mheshimiwa pole na mjukumu.Naomba muulize huyo muhongo kesho hiyo katika katika ya umeme na kurudi ukiwa mkubwa nakusababisha nyumba kuungua Mara kwa Mara kutaisha lini?Ijumaa iliyopita tuu jirani yetu hapa mbezi inn ameunguliwa na nyumba na mtoto wake wa miaka minne kufariki amezikwa jumamosi kiss umeme kukatika katika na jurudi Mara kwa Mara.Saidia imeuma mno.
Kuna ukweli gani kuhusu hii habari ya Tanzania kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Somalia - http://tzscholars.blogspot.com/2014/06/university-of-waikato-international.html
Ninawaomba sana wabunge jambo hili msilikubali hata kidogo. Tanzania sasa tuna matatizo mengi hatuna haja kabisa kujiingiza kwenye mgogoro wa Somalia. Angalieni yanayowapata Kenya, hatutaki kufikia huko
Mh. Hali ya ubungo national housing yaani nyuma ya ubungo plaza ni mbaya sana. Maji mara ya mwisho yalitoka mwezi wa 12 mwaka jana mpaka leo. Hii inakuwa ni faida kwa wapinzani wako wanatamba kwamba mbunge wenu amesgindwa kuwapatia maji, mwanzo mlikuwa na maji lkn ss shida. Angalia hili lisije kutunyanganya jimbo kwani wananchi wanadanganywa watarudishiwa maji kipindi kijacho. Tetea jimbo letu Mh.
Sisi wananchi wa KIGOGO Luhanga Mtaa wa MATOKEO tunaoishi kando ya MTO karibu na Kanisa Katoliki LUHANGA tunahitaji msaada was kuwekewa kingo za mawe kuzuia mmomonyoko wa udongo kan do ya MTO unaosababishwa na mafuriko
Tunakuomba uangalie uharibifu huo utakapo kuja kesho kwenye mahafali ya darasa la saba katika shule ya Mt.Aloysius GONZAGA ( 30/8/2014)
Eneo LA darajani karibu na shule, ambapo nyumba za RAIA ziko karibu kisombwa na MAJI.
My.Mbunge Binafsi nilishukuru ahadi uliyotoa juu ya kero ya wananchi tunaoishi kan do ya MTO Mtaa Matokeo,KIGOGO Luhanga.Aidha ahadi uliyotoa juu ya ombi LA kuweka mawe kwenye kingo za mto katika eneo hilo iliyowasilishwa pale shule ya msingi GONZAGA bado tunasibiri ikizingatiwa kuwa kipindi cha mvua kinakaribia.Tafadhali endelea kuwa mtetezi wa watu kwa kutatua kero zao siyo kuzitolea ahadi tu.
Jana nilipita mitaa ya Survey ambako FISI WENU walikuwa wakifanya kampeni kwa ajili ya uchaguzi mtaa wa Chuo Kikuu. Walikuwa na vioja ambavyo inabidi vijibiwe kama mnataka UKAWA kuchukua nafasi yao. 1. Waulizwe waeleze ni mambo gani ambayo FISI WENU wameyafanya katika mtaa ule kwa miaka mitano iliyopita? 2. Wamejaza wagombea ambao hawana nia ya kushika nafasi hizo hadi mwisho. wanatumia fursa hiyo kujipandisha chati kwa ajili ya kugombea ubunge mwakani hivyo wananchi wasipoteze kura zao. Mathalani mgombea uenyekiti ambaye ni profesa amestaafu hivyo hana uhakika wakuendelea na makazi yake pale chuoni pia anajipanga kugombea ubunge jimbo la Kyela. 3. Ahadi wanazozitoa sasa kwa mfano kuwapatia maeneo ya biashara vijana walishindwa nini kuyatekeleza wakati chama chao ndicho kimekuwa madarakani muda wote? 4. Wamesema wanataka kuondoa kero za wananchi wa eneo hilo bila kuzijua ni kero gani. Kero kubwa inayowakabili wakazi karibu na survey bi kelele. Badala ya kuzipunguza wao jana waliwaongezea kelele wakazi kwa kampeni yao ya fujo. UKAWA wakija wawe wastaarabu upande wa kelele. 5. Inaelekea hawa FISI wenu walijiandaa kwa kuandikisha watu wao kutoka hata maeneo ya jirani. Ni vema UKAWA ikatumia muda vizuri kuwashawishi "walioandikishwa" wawaunge mkono. inawezekana!
26 comments:
18Mh. mnyika nashindwa kuelewa kwanini hufuatilii tatizo letu la barabara ya msewe-chuo, huwezi hata kuona makongo wanachokifanya?. hatutaki mbwembwe basi hata changarawe iliyomwagwa hongera bar road utumwagie na sisi, tupunguze vumbi jamani. au ndi umeshiba madaraka?. mimi bila barabara unaniboaaaaaaaaaaaaa.
kwa uchungu ni mm mkazi wa msewe shule ya msingi.
1. Think about some quick win projects for your consituency because 2015 is not far.
2.Go in for shallow and deep water wells in areas with acute water shortages.
3. Arrange with SUMATRA to introduce public service transport on Mbezi Mwisho -Kinyerezi road.
4.Do the same for other difficult but passable roads.
5. Do something for Urafiki/Mabibo soko la Ndizi.It is a source of livelihood for thousands of voters.
Sis Wana nchi tuko Na CHADEMA ...... tuna taka mabadiliko kamili .... hatu taki mbwembwe...... tuna omba CHADEMA muendelee kama tu mlivyo kuwa hapo mwanzo .... kasi ile ile .... kwa namna hiyo ... lazima CCM wata kimbia .... hasa hao mafisadi wata kimbia wenyewe ...
habari ya asubuhi ndg,naomba kukupa taarifa juu ya ufisadi unaoendelea ndani ya dawasco hadi kusababisha kutokupatikana kwa maji katika maeneo ya ubungo,kibangu,makuburi na tabata kwa ujumla. Ndani ya dawasco wamewahi kununua pump mpya 2 ndani ya miaka 2 zote hazifanyi kazi,nadhani ni kutokana na kununua zilizo chini ya ufanisi unaotakiwa,na yote ni 10% katika manunuzi. Hadi sasa mtambo wa ruvu juu unazalisha maji kwa hasara yaani pump inatumia umeme mwingi,madawa mengi ila uzalishaji ni kidogo kutokan na pump haina ufanisi wa kutosha. Tafadhali fuatilia kwani limekaa kisiasa zaidi. Mfanyakazi wa dawasco
mi nalia na umeme goba, jamani utafikiri tuko kijiji cha wapi kweli tanesco bado ni wazembe sana,
Mheshimiwa Mnyika,
Nimefurahia michango yenu kihusu gesi ya asili.
Maoni yangu ni kwamba:-
1. Gesi hii inatakiwa itumike kwaajili ya kuzalishia umeme.
Hii itaokoa gharama za ununuzi wa mafuta yanayotumika kuzalishia umeme.
2. Tunatakiwa kutumia gesi kwa kuendesha magari kama wanavyofanya India. Huko india magari makubwa kwa madogo hata bajaji zinatumia gesi. Hii itaondoa gharama za uagizaji wa Petrol, Diezel na mafuta ya taa toka nje. Matumizi ya gesi katika kuendesha magari hayachafui mazingira (hewa).
Katika matumizi ya taifa ya pesa za kigeni za ununuzi wa mafuta ndio unaoshikilia namba moja katika matumizi yote. Iwapo pesa hizi zitaokolewa zitawekwa kwenye matumizi ya maendeleo ya taifa. Pesa hizi ni nyingi sana, hatuhitaji kuuza nje ya nchi (export) gesi iliyosindikwa ili kupata pesa za maendeleo.
Tukumbuke kwamba nchi nyingi za Africa zinazouza mafuta nje, mapato yake hayajaweza kuleta maendeleo katika nchi hizo.
Kwahiyo mapendekezo yangu ni kuwa viwanda vinavyotaka kusindika gesi na kuuza nje, visimamishwe kwanza mpaka mahitaji ya ndani yametosheleza.
3. Gesi inatakiwa itumike kwa matumizi ya majumbani ili kuondoa gharama za kuagiza gesi(LPG) inaayotumika kwa sasa na kunusuru mazingira (kupunguza matumizi ya kuni na mkaa).
Mheshimiwa Mnyika, ni matumaini yangu kuwa utafanyia utafiti maoni haya na ushauri wangu na kuufikisha Bungeni kwaajili ya utekelezaji kwa manifaa ya Watanzania wote.
Hivi John Mnyika ni lini mtaamua kuwa na TV na Redio stations za kwenu CHADEMA?
Tembele blog ya www.bungelawote.blogspot.com uweze kujadili mada mbalimbali na pia utapata downloads ya Windows 8(32bit & 64 bit) na zaidi unaweza kutuma SMS na kupiga simu bure ukiwa hapo, temebelea sasa, www.bungelawote.blogspot.com
HELLO HONORABLE MNYIKA,
AM ELIAS RAJAN KALIDAS FROM KIMARA BARUTI, DAR ES SALAAM. I WOULD LIKE TO PRESENT TO YOU MY GRIEVANCE ABOUT NIKO INSURANCE TANZANIA.ITS BEEN ALMOST 5 YEARS NOW SINCE MY DAD MR RAJAN LALJI KALIDAS, 69 YEARS OLD WAS INVOLVED IN A CAR ACCIDENT ON 8/04/2008 AT UBUNGO, MOROGORO ROAD.THE TRUCK WHICH CAUSED THE ACCIDENT HAD A COMPREHENSIVE INSURENCE COVER INSURED BY NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED.NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED AS AN INSURER DELAYED COMPENSATION AND HAD SINCE REFUSED TO TO COMPENSATE MY DAD'S CAR (TOYOTA NOAH) WHICH WAS TERMED WRITE-OFF BY POLICE AND BY ONE OF YOUR AGENTS IN THE YEAR 2008.
WE HAVE OPENED A CASE AGAINST THE INSURED AND THE INSURER THAT IS NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED SINCE 2009 BUT, HOWEVER, FOR THE LAST 3 YEARS OR SO THE TWO PARTIES HAVE BEEN ACTIVELY INVOLVED IN MANIPUTATING THE WHOLE TRIAL AND THUS DELAYING THE HEARING UPTO THIS DATE.
YESTERDAY 5TH APRIL 2013 WAS ANOTHER DAY OF HEARING BUT AS PER OUR EXPECTATION IT WAS AGAIN PUSHED TO 24TH APRIL 2013.
ONE THING I DONT UNDERSTAND IS WHY IS NIKO INSURANCE TANZANIA LTD DOING THIS TO MY DAD AND EVERYBODY INVOILED IN THIS CASE? WHAT IS THE REASON BEHIND THIS? DOES NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED REALLY KNOW HOW MUCH TIME THEY HAVE WASTED ON MY DAD, YOUR CLIENTS, AND THE GOVERNMENT? DO YOU REALLY KNOW HOW MUCH COST AND OTHER EXPENSES DOES MY DAD, MY GOVERNMENT INCURS TO RUN AND FOLLOW UP IN THIS CASE?
PLEASE UNDERSTAND THAT NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED, IS NOT BEING FAIR TO MY DAD, THEIR CLIENTS, MY GOVERNMENT AND MY COUNTRY AS A WHOLE. I EMPLOY NIKO INSURANCE TANZANIA LIMITED AND EXPRESS MY SINCERE REQUEST TO YOU MY PARTY, CHADEMA,MY FRIENDS AND FANS FOR MY DAD TO GET HIS JUSTICE AND RECEIVE HIS COMPESATION AS SOON AS POSSIBLE.
THANK YOU.
REGARDS.
E.R.L. KEN KALIDAS
+255 787 491508

Pole kwa kazi mheshiwa Mbunge; Naomba ufuatilie kwenye Serikali kwa kuhoja kwa nini wanasitisha kupandisha vyeo watumishi wa umma kwa mwaka 2012/13 wakati fedha zilitengwa lakini wanaairisha, kuna hapo kama sio ufisadi na kutowajari watumishi kama Mheshiwa rais alivyosema wakati wa kampeni kuwa hata kura zao, lakini vyeo ni haki zetu za msingi ndg mheshiwa.
Mungu akubariki
Mh Mnyika huku Tulawaka hatujui ni nini serikali ya CCM inatumbia kwani huku tinaambiwa mine closure wao wanasema wanakuja STAMICO.
Hapo Mh wafanyakazi wanaona kama wanaenda kudhulumiwa na wangependa ufafanuzi
tunategemea uwajibikaji wenu wa hali na mali katika kulipitisha taifa hili katika njia ambaayo sisi watanzania wengi wao tulio maskini tunaweza kupata ahueni na janga hili la gap la walionacho na wasionacho,na pia changes ni lazima,na watawala wa nchi hii nchi imewashinda lakini wanang'ang'ania......nchi ni imeuzwa na watu wachache....kiukweli tumechoka sana tena sana...hakuna wa kumficha mtu kwa jambo lolote lile katika dunia hii iliyo kwenye viganja vya mikono...it was just comment...thanks..M4C
Hellow MR MNYIKA!! Honour to u!! Conglatulations for the nice work that u daily done on the society!!well am orphan girl studied at open university taking a degree of social work in a second year now,,but am faced with FINANCIAL PROBLEM please help me to pursue on my studies please!!so that in future I will be able to help my fellow womans who are in need,,,,,,am badly in need of ur help HONORABLE JOHN MNYIKA please am berging u to help me on fulfiling my studies &i will show u all of my certificates so that u can prove that am real in need of this help,,,,,,,here is my email adress leilayuris@yahoo.co.uk 0715256777 hope u will kindly help me,,thanks be blessed!!
MPANGO WA KUWA UONGOZI IMARA WA MISINGI NI MUHIMU SANA SI KWA JINSI MNAVYO FIKIRI,MATAWI TULIYO NAYO SIDHANI KAMA KUNA MIPANGO NA MIKAKATI THABITI YA KUMKOMBOA MTANZANIA KATIKA UMOJA WETU,MIKAKATI YA UKOMBOZI INA ANZIA CHINI,TAHADHARI TUSIPOTEZE NGUVU ZETU CHAMA KIKAPOTEA KAMA NCCR MAGEUZI
TAFAKARI SANA HILI WATANZANIA TUNA NEEMA SANA LAKINI VIONGOZI KUANZIA NGAZI YA MSINGI MPAKA MWENYEKITI WA TAIFA TULIONAO WAPIMWE WANAUWEZO (CHADEMA)WAKUIKOMBOA NEEMA HII KUTOKA KWA MAFISADI CCM NA KUJENGA PALIPOBOMOKA,SIASA YA VYAMA VINGI SI LELE MAMA AU MAIGIZO NI VITA NGUMU,NI MIPANGO YA KUWAACHISHA KUNDI KUBWA KAZI
Habari za week end mheshimiwa Mbunge Mnyika.
tafadhali sana shughukia barabara ya Ubungo maziwa, ile barabara inasaidia sanaaaaaa foleni, ukiwa unatokea mjini ukifika kwenye yale mataa ya ubungo / shekilango unaingia hiyo njia unatokea EPZA kwenye mataa ni safiii sanaa. Hata ukiwa unatokea Tabata unaelekea mjini au sinza baada ya daraja la jipya ubungo maziwa / mahakama ya ndizi basi unanyoosha na hiyo njia Ubungo maziwa / makaburini, ni safii sanaa. Ila kwa sasa barabara imeharibikaaaaa sanaaaaa mashimo, mahandaki, maji, mabondee... Mbunge ebu shughulikia basi jamani hiyo njia, usiweke rami weye iparuze tuu sisi tutapita..
Nimejaribu kukutumia maoni yangu yenye mambo ya msingi kwenye blog hii imeshindikana. Ninaomba kama una email unitumie kwenye raiamwema70@gmail.com. Tafadhali zingatia ni muhimu sana Mheshimiwa.
mh. mbunge, kwa wakazi wa makabe na sehemu zinazotuzunguka, kero yetu kubwa ni maji na barabara. sisi kama wanamakabe tuna kikundi kilicho na lengo la kutatua baadhi ya kero za wakazi wa makabe. tunaomba ututembelee, barua rasmi itatumwa ofisini kwako. exuper 0786 402523. exuperm@yahoo.com
Mheshimiwa pole na mjukumu.Naomba muulize huyo muhongo kesho hiyo katika katika ya umeme na kurudi ukiwa mkubwa nakusababisha nyumba kuungua Mara kwa Mara kutaisha lini?Ijumaa iliyopita tuu jirani yetu hapa mbezi inn ameunguliwa na nyumba na mtoto wake wa miaka minne kufariki amezikwa jumamosi kiss umeme kukatika katika na jurudi Mara kwa Mara.Saidia imeuma mno.
Kuna ukweli gani kuhusu hii habari ya Tanzania kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Somalia - http://tzscholars.blogspot.com/2014/06/university-of-waikato-international.html
Ninawaomba sana wabunge jambo hili msilikubali hata kidogo. Tanzania sasa tuna matatizo mengi hatuna haja kabisa kujiingiza kwenye mgogoro wa Somalia. Angalieni yanayowapata Kenya, hatutaki kufikia huko
Mh. Hali ya ubungo national housing yaani nyuma ya ubungo plaza ni mbaya sana. Maji mara ya mwisho yalitoka mwezi wa 12 mwaka jana mpaka leo. Hii inakuwa ni faida kwa wapinzani wako wanatamba kwamba mbunge wenu amesgindwa kuwapatia maji, mwanzo mlikuwa na maji lkn ss shida. Angalia hili lisije kutunyanganya jimbo kwani wananchi wanadanganywa watarudishiwa maji kipindi kijacho. Tetea jimbo letu Mh.
Mh. Mbunge ,John MNYIKA
Sisi wananchi wa KIGOGO Luhanga Mtaa wa MATOKEO tunaoishi kando ya MTO karibu na Kanisa Katoliki LUHANGA tunahitaji msaada was kuwekewa kingo za mawe kuzuia mmomonyoko wa udongo kan do ya MTO unaosababishwa na mafuriko
Tunakuomba uangalie uharibifu huo utakapo kuja kesho kwenye mahafali ya darasa la saba katika shule ya Mt.Aloysius GONZAGA ( 30/8/2014)
Eneo LA darajani karibu na shule, ambapo nyumba za RAIA ziko karibu kisombwa na MAJI.
Asante
0786 222456
My.Mbunge
Binafsi nilishukuru ahadi uliyotoa juu ya kero ya wananchi tunaoishi kan do ya MTO Mtaa Matokeo,KIGOGO Luhanga.Aidha ahadi uliyotoa juu ya ombi LA kuweka mawe kwenye kingo za mto katika eneo hilo iliyowasilishwa pale shule ya msingi GONZAGA bado tunasibiri ikizingatiwa kuwa kipindi cha mvua kinakaribia.Tafadhali endelea kuwa mtetezi wa watu kwa kutatua kero zao siyo kuzitolea ahadi tu.
Muoja
Jana nilipita mitaa ya Survey ambako FISI WENU walikuwa wakifanya kampeni kwa ajili ya uchaguzi mtaa wa Chuo Kikuu. Walikuwa na vioja ambavyo inabidi vijibiwe kama mnataka UKAWA kuchukua nafasi yao.
1. Waulizwe waeleze ni mambo gani ambayo FISI WENU wameyafanya katika mtaa ule kwa miaka mitano iliyopita?
2. Wamejaza wagombea ambao hawana nia ya kushika nafasi hizo hadi mwisho. wanatumia fursa hiyo kujipandisha chati kwa ajili ya kugombea ubunge mwakani hivyo wananchi wasipoteze kura zao. Mathalani mgombea uenyekiti ambaye ni profesa amestaafu hivyo hana uhakika wakuendelea na makazi yake pale chuoni pia anajipanga kugombea ubunge jimbo la Kyela.
3. Ahadi wanazozitoa sasa kwa mfano kuwapatia maeneo ya biashara vijana walishindwa nini kuyatekeleza wakati chama chao ndicho kimekuwa madarakani muda wote?
4. Wamesema wanataka kuondoa kero za wananchi wa eneo hilo bila kuzijua ni kero gani. Kero kubwa inayowakabili wakazi karibu na survey bi kelele. Badala ya kuzipunguza wao jana waliwaongezea kelele wakazi kwa kampeni yao ya fujo. UKAWA wakija wawe wastaarabu upande wa kelele.
5. Inaelekea hawa FISI wenu walijiandaa kwa kuandikisha watu wao kutoka hata maeneo ya jirani. Ni vema UKAWA ikatumia muda vizuri kuwashawishi "walioandikishwa" wawaunge mkono. inawezekana!
Majiiii jamani makongojuuu kwann yanaishia ccm hiinihujuma dawasco fanyenikazi wacheni siasa naww mnyika siufike usikilize keroze2 nihayo2
Post a Comment