Wednesday, April 4, 2012

Mkutano wangu na "wamachinga" wa Ubungo leo 04.04.2012

Nikiwa naongea na kujadiliana na wafanyabiashara ndogo ndogo "wamachinga" walioondolewa maeneo yaUbungo. Pembeni ni Diwani wa Ubungo, Bw. Boniface
Wafanya biashara ndogo ndogo wakiwa wanafatilia mkutano huu

Muhimu: Taarifa yangu kwa kina itafata baadae

2 comments:

Anonymous said...

i'm one of your followers since Pugu and University of Dar es salaam 2002.But i'm one of those people who was wondering when will the government intervene on those street vendors.Ukweli ni kwamba nchi ikiachwa kila mtu afanye biashara anapotaka itakuwa mess!!!!lets be serious,i'm not ccm fun but the operation was very right Mnyika.

Anonymous said...

I also support government move!, sio kila mahara kufanya biashara, let's advise our followers wisely. Tusifanye kila kitu siasa!, mimi sipendi wale wafanyabiashara pale let's work togather to shape our city!