Monday, February 11, 2013

Picha: Mapokezi ya wabunge wa CHADEMA jijini Dar na Mkutano wa hadhara

Katika maandamano kuelekea uwanjani Temeke, sehemu ya viongozi na wabunge wa CHADEMA


Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu A. Lissu
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema


Sehemu ya mabango ambayo wananchi walikuwa wameyabeba
Viongozi wa CHADEMA: Katibu Mkuu, Dr. W.Slaa, Mwenyekiti, F. Mbowe na Naibu Katibu Mkuu, Z. Kabwe 

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee

 Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa 

Shukrani kwa chanzo: http://michuzi-matukio.blogspot.com/2013/02/chadema-waandamana-dar-leo.html#links 

No comments: