Tuesday, December 31, 2013

Kheri na fanaka kwa mwaka mpya 2014. Nimerudi!

Nimerejea toka kwenye mafungo na tafakari, kumradhi kwa wote mlionikosa simuni na mtandaoni. Nawatakia mwaka mpya wenye upendo na uadilifu

1 comment:

Anonymous said...

John,
Kwanza nikupongeze kwa yote mema ya 2013 na kukutakia kheri ya 2014.

Tunaomba chama kitoe ripoti maalumu kwa mwaka huu wa 2013 na matarajio ya 2014.
kipi tumeshindwa kufikia na kwa sababu gani. Na kubwa zaidi kutimia kwa ilani yetu kuhusu katiba mpya. Japo sio kwa ufanisi tulioutarajia.
Magumu tuliyopitia na yametufunza nini?
Ni muhumi tamko likatoka kwa ajili ya mkakati unaoendelea huku kwenye misingi.
Uchaguzi wa serikali za mitaa upo njiani na sehemu nyingi bado mkakati haueleweki. Tunaomba hata ratiba na mwongozo utoke mapema.
Mwaka mpya mwema.