Monday, January 17, 2011

Maoni yangu kwenye Kongamano la Katiba Chuo Kikuu



John Mnyika, Mbunge wa Ubungo akizungumza kwenye Kongamano la Mchakato na Maudhui ya Katiba Mpya lililoandaliwa na UDASA katika Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es salaam tarehe 15 Januari 2011

Chanzo: Jamvini kupitia Youtube

1 comment:

Anonymous said...

Mhe. Mbunge Nakupongeza sana kwa kuchaguliwa kuongoza Jimbo la Ubungo.
Maoni yako mimi nakubaliana nawe kabisa.Kwani
Serikali haijaonyesha kuwa na nia ya dhati ya kuwapa fursa wananchi waandike katiba yao. Kwani kauli za mwanzo za wasemaji wa serikali hazijafutwa ila kinachoonekana ni tabia iliyojengeka ya serkali kutikisa kiberiti kuona kama inaweza kuendelea kutawala kwa namna ambayo wananchi watake wasitake lazima watawaliwe. Hivyo kwa vile katiba mpya itarudisha nguvu kwa wananchi ya kuamua mustakabali wao kiuchumi kisiasa na hasa namna ya kutumia rasilimali za taifa kwa manuafaa ya taifa na sio kwa wajanja wachache kupora rasilimali kama ilivyo sasa. Wanachi watapata nguvu kuwajibisha viongozi wasionatija kwa maendeleo ya taifa. Tusikubali suala hili isiachiwe serikali kupanga mchakato.