Nashukuru kwa mwaliko wa kipekee na bahati ya dua njema kwangu toka kwa viongozi na waumini wa Msikiti Saranga.Ushirikiani na ukaribu wetu ambao umedumu kwa miaka sasa toka kabla ya 2005 mpaka sasa.
Nimefurahi kwa ukaribisho nilioupata toka ktk Madrassa iliyopo Kiluvya kushiriki nao sikukuu ya Idd El Hajj jana.Ni Madrassa ambayo nimekuwa karibu nayo kwa miaka sasa (kabla ya 2005) kushiriki kadiri ya nafasi na uwezo kuiimarisha.
Nikizuzungumza
na viongozi na waumini, msikiti wa MalambaMawili Mwisho (King'azi B).
Moja ya Misikiti ambayo nimekuwa nayo karibu na kushirikiana nayo hata
kabla ya kuwa Mbunge (toka kabla ya 2005) mpaka sasa.
Allah awajalie kila la kheri.
No comments:
Post a Comment