Monday, March 26, 2012

Mahakamani:Kesi kupinga ushindi wangu 26/03/2012


Nikiwa natoka mahakamani, nyuma yangu ni wakili anayenitetea, Bw. Mbogolo

"Nguvu ya Umma......Peoples Power!!"
"Sauti ya watu, sauti ya MUNGU"


Wakili wangu, Bw. Mbogolo akiwa anatoka akimsabahi Mshtaki, Bi. Hawa Nghumbi (CCM)

Kutembea kutoka mahakamani kwenda ofisini na wananchi waliofika mahakamani
"A walk from Court to Office"

4 comments:

Anonymous said...

tambua Haki ina Haki yake ni ngumu kuipata, yapasa upigane kiume. Kila la kher

Anonymous said...

No one can take ur right away except God,they will just make un necessary delay and raiya who will sufer or victim.so serikali iangalie hili kwani nchi inataka watu wachape kazi na sikupotezeana muda wakati ni dhahiri J.Mnyika kashinda.Anaye umia ni raiya.Plz let stop this nonsense in Tz .By kimomwe mshana in Edinburgh Scotland Uk

Anonymous said...

tuko nawewe kaka huyu mama anataka tu upoteze focus anacheza michezo ya kitoto sana sijui anawaza nini

Anonymous said...

We are behind you Mnyika they say. "Empty vessels make the most noise." Good luck and Stay Blessed.