Wednesday, April 25, 2012

Hatuna Serikali, tufanye mapinduzi

Nilisema 2010: AMUA; Uwajibikaji kwa Maslahi ya UMMA kwanza. Kilichodhihirika kwenye mkutano uliomalizika wa bunge ni kuwa hatuna serikali. Nimerejea toka Dodoma, nawatakia heri ya kumbukumbu ya Muungano. Tufanye mapinduzi, tuwang’oe mafisadi kwa nguvu ya umma.

2 comments:

Kasimba G said...

Yeah John,

We actually need to overhaul the whole system, we need people who are responsible, who knows what they needs do to make our nation be where it is supposed to be, my opinion we need to be the first class ec nation.

Kasimba G

Anonymous said...

Cha msing me nnachokiona cdm tuhamasishe vijana kwa nguvu zote wajiandikishe na wapige kura bas,den utafurahi mwenyewe,vp hapa mwanga mbona kama mnamgwaya huyo prof wa nyuki hana jipya pale,amechangisha watu hela ya kuchimba maji bt mpaka leo hamna lolote plz m4c ipite pale