Wednesday, November 28, 2012

MUHIMU SANA: Tujitokeze leo kutoa maoni yetu rasimu ya gesi

Leo 29th Novemba, 2012 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni Mahala: Makumbusho ya Taifa (Mkabala na Chuo cha IFM) tufike kutoa maoni yetu juu ya rasimu ya sera ya gesi asili Tanzania. Neema ya kuwa na rasilimali ya gesi tunapaswa kuipanga na kujua namna gani kama taifa tunufaike. Mawazo na busara zetu ni za muhimu sana. 


Karibu tusome maandiko kadhaa haya kuweza kuwa muongozo wa awali. Ingia hapa: http://mnyika.blogspot.com/2012/11/sera-ya-gesi-itafsiriwe-kwa-kiswahili.html , http://mnyika.blogspot.com/2012/10/taarifa-kwa-umma-madini-mafuta-na-gesi.html , http://mnyika.blogspot.com/2012/10/mnyika-spika-aunde-kamati-ya-gesi.html , http://mnyika.blogspot.com/2012/10/taarifa-ya-ufafanuzi-kuhusu-utafutaji.html na nyingine nyingi. 

Rasimu ya gesi yenyewe ingia hapa: http://zittokabwe.wordpress.com/2012/10/31/the-tanzania-natural-gas-policy-draft-1-tzoilgas-mem/

Maslahi ya Umma Kwanza!

No comments: