Mhe. John Mnyika akishirikiana na Mratibu John Mallya kuonyesha bango lenye ujumbe wa harambee ya kuchangia maabara na maktaba iliyozinduliwa Agosti 21, 2013
Mratibu wa Shirika la UDI, Ndg. John Mallya akielezea juu ya shirika
Mratibu wa harambee ya changia maabara na maktaba, Ndg. Pascal Maziku akifafanua juu ya harambee hiyo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Ndg. John Mnyika akitoa rai yake kwa wananchi kuungana nae katika harambee ya kuchangia maabara na maktaba
No comments:
Post a Comment