Tuesday, October 12, 2010

Hawa wananichangia na kuniunga mkono-Unasubiri nini wewe?

Wakina mama hawa na watoto wao walinigusa sana kwa moyo wao wa kizalendo kwa kuweza kunichangia kampeni zangu katika zoezi la uchangishaji nilifanyalo katika mikutano ya hadhara. Wewe unangoja nini?shiriki katika mchakato wa kuhakikisha ushindi kivitendo.

Changia sasa chochote ulichonacho!waweza tuma kupitia MPESA (0754 694553) ama ZAP (0784-222222)

Waweza pia kuchangia kwa kutuma salio la muda wa maongezi katika simu "vocha" kwa ambao mpo mbali na huduma hizi.

2 comments:

Anonymous said...

Nasisi pia tupo pamoja na wewe kuhakikisha ushindi wa Chama Chetu Chadema. Wananchi wazidi kujitolea kukuunga mkono ili kuleta mabadiliko.Pamoja tutashinda.

Anonymous said...

iko tofauti kabisa!
wakati wengine wakiwahonga wapiga kura,wengine wanawachangia wagombea!!!!!!!
pamoja tutashida !!!!
usiwe na wasiwasi kaka!!!!!!!!!