Wednesday, October 20, 2010

Tunaongeza mashina na mabalozi wa CHADEMA kila kona!!


Nikipandisha bendera katika moja ya mashina mapya ya CHADEMA kata ya Mabibo

Kabla ya kukamilisha mchakato wa ufunguaji rasmi wa shina ni muhimu kuelezea na kufafanua misingi, itikadi na nguzo za CHADEMA.

1 comment:

Anonymous said...

Ngugu awali ya yote nakupongeza sana kwa harakati zako binafsi na za chama chetu CHADEMA kwa kutetea ukombozi wa taifa hili baada ya kuona post hii nikaona nifikishe tena kilio chetu sisi wakazi wa tabata twiga kutokua na ofisi ya shina ktk maeneo yetu. binafsi huwa naamini mwisho wa uchaguzi mmoja ndo mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi mwingine.nakuomba tuwasiliane tufungue shina huku. vijana wengi wanakipenda chadema lakini hawana kadi na wanadai ofisi ya chama angalau ngazi ya kata iwepo. tuwasiliane kwa:gmushema@yahoo.com,hata kwenye facebook,au kwa simu:0764 72 10 20,0715 72 10 20, 0787 72 10 20.