Monday, October 18, 2010

Mkutano wa hadhara wa Sinza

Makamanda mbalimbali wakihutubia mkutano wa sinza


Nikiwa na Diwani wangu Renatus Pamba wa Kata ya Sinza


Kamanda Eric Ongara, Engine!akihutubia wananchi wa kata ya sinza

Kamanda Edward Kinabo akihutubia mkutano wa Sinza

Mkutano wangu uliweza kuhudhuriwa na vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo BBC ambao licha ya kurekodi na kurusha mkutano pia walifanya mahojiano nami baada ya kumalizika kwa mkutano

Polisi walikuwepo pia kulinda amani licha kwa muonekano wao(mavazi, silaha nk) uliondoa amani kwa kuleta hofu kwa wananchi ambao walikuwa wakifatilia mkutano kwa utulivu
wananchi walinilaki baada tu ya kumaliza kuhutubia!Nashukuru sana kwa moyo na hamasa kubwa mliyoionyesha wana wa sinza.

1 comment:

Anonymous said...

mmejipanga vipi ili kura zihesabiwe kihalali bila ya vyama vingine kuweka majina ya chekechea? na wanavyuo watapigaje kura vyuo bado kufunguliwa@ au ndio vitafunguliwa siku ya uchaguzi? bila mambo muhimu ya usimamizi wa kura itakuwa kazi bure