Tuesday, October 12, 2010

Hujuma!!! Uvunjwaji wa Sheria

Hii ni sehemu tu ya picha ambazo zimechanwa katika maeneo ya Jimbo la Ubungo. Uchanwaji wa picha huu ni kosa kisheria. Lakini pia hurudisha nyuma sana zoezi zima la upashaji habari ukizingatia uhuru wa kupata taarifa ni moja wapo ya nguzo imara katika demokrasia. Mwelimishe mwenzako kutokuhujumu mchakato wa kidemokrasia kwa kuchana picha kwani inakosesha fursa wananchi wengine wengi kupata taarifa za wagombea.

3 comments:

Hon. lukaye sawe said...

KAKA USIOFU NAJUA HAO WOTE NI UKOSEFU WA ELIMU DAT Y WANAFANYA UJINGA HUO, THEN NIMECHOKA KUONA RANGI MOJA 2 SINCE NAZALIWA MPK NOW WE NEED OTHER COLOUR IF GOD WISH NEXT ELECTION I WANT 2 PRESENT CHADEMA.

FASO said...

WAKIFANYIWA WAO KELELE NYINGI ILA WAKIFANYIWA WENGINE WAO HAWAJALI....LAKINI TUTAFIKA HATA IWEJE

Anonymous said...

2010 hatudanganyiki mpaka kieleweke!

website ya Chadema haiko hewani wiki nzima sasa, kulikoni?