Thursday, October 7, 2010

Makamanda wakiwa mstari wa mbele kuhakikisha Ushindi


Engine Eric ONGARA, moja ya kiungo muhimu na adhimu kuelekea ushindi akishika jukwaa na kuwahimiza wananchi kuchagua CHADEMA, kuhakikisha katika jimbo la ubungo-madiwani wote wa kata 14 watoke CHADEMA, MNYIKA awe mbunge wa Ubungo na Rais awe Dk. Slaa
Kamanda Gwanda Kilewo, ni miongoni mwa viongozi kichama na mpambanaji makini.

Kamanda John Mallya, Kijana msomi makini wa sheria na mwanasiasa anayepikwa na CHADEMA

No comments: