Monday, October 11, 2010

Usimikaji Balozi na Uzinduzi wa shina-Kata ya Ubungo

Tunaendelea kufungua mashina na kusimika mabalozi kila eneo la Jimbo la Ubungo

1 comment:

physics said...

Kaka mambo vp? kaza buti mzee na kumbuka kufika kona nyingi za jimbo kwani watu wa mbezi ya kimara na Goba mpakani wanalalamika hujawatembelea. Tembelea wapiga kula wako Mzee. Msimu huu mpaka kieleweke