Monday, October 11, 2010

Kila la kheri Mjukuu wangu ukatuwakilishe bungeni


Nashukuru sana kwa moyo na ujasiri wa Bibi huyu ambaye hakusita kuniambia maneno ya kunitia shime na kunibariki katika harakati zangu za kuomba ridhaa kuwakilisha wananchi Bungeni.

Ni faraja sana kuungwa mkono na kila kundi hususan wazee kwani ni kisima cha busara na baraka.

2 comments:

tuju said...

Hakika ni jambo la kutia faraja kuona kwamba hata wazee kundi ambalo ni lulu ya taifa wako upande wako.

Anonymous said...

Ni faraja sana kukubalika kwa kundi hili, hii inaonyesha MNYIKA nguvu yako ni zaidi ya vijana kama ambavyo wengine wengi wanafikiria. Songa mbele!

Kila mtu hamasika sasa, chagua MNYIKA!