Tuesday, October 12, 2010

Wahi sasa kununua Vifaa vya NAMUUNGA MKONO MNYIKA-Ushiriki kivitendo kampeni zangu

Wheel covers zipo za ukubwa wote; Tsh. 30,000/- tu!

Stickers ni Tsh. 1,000/- tu! weka katika gari, mlangoni nk

Shiriki sasa kwa vitendo, Niunge Mkono na ufanye kampeni nami;
Pata vifaa hivi pamoja na vingine vingi kama;
Fulana (Tsh. 10,000/-), Skafu Tsh. 5,000/-


Wasiliana na: 0783-222217, 0713-503023, 0714-137371


Wahi sasa!

1 comment:

Kabengo said...

Kaka sie tuko pamoja nawe.
Kipindi hiki hatudanganyiki. Elewa wazi wasomi tunakuunga mkono kijana mwenzetu.

WATAKE WASITAKE CHADEMA KIBOKO YAO