Thursday, October 7, 2010

VIFAA VYA NAMUUNGA MKONO MNYIKA

Habari
Vifaa vya NAMUUNGA MKONO MNYIKA vipo tayari.
1.Fulana ni Tsh 10,000/-
2.Skafu ni Tsh 5,000/-
3.Beji ni Tsh 1,000/-
4.Sticker ni Tsh 1,000/-

Waweza kuvipata kama ifuatavyo
Kimara Kona (0719516747)
SInza(0714061819)
Ubungo Plaza(0717011112)
Mabibo(073282263)


NB:Mauzo ya vifaa hivi yatachangia katika mfuko wa malipo ya mawakala.
Asante!!

1 comment:

martha said...

Hello John, hongera kwa kampeni. ntadeposit some cash kesho kwenye acc yako ya crdb. Martha