Sunday, December 1, 2013

Ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Sinza-Mchango wa Mfuko wa JimboUkaguzi nilioufanya katika Kata ya Sinza; ujenzi wa kituo cha polisi kwa fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo.

Mfuko wa Jimbo umetenga milioni 10; tayari umeshatoa milioni 3.5 zilizofikisha jengo mpaka hatua hiyo. Taratibu za utoaji fedha zilikwamisha mradi toka mwezi Mei mwaka 2013.

Nimeelekeza hatua zinazopaswa kuchukuliwa kwa haraka. Nawashukuru wananchi nao kwa kuunga mkono kwa hali na mali ujenzi huu.

Tuendelee mpaka kikamilike kuhakikisha ulinzi na usalama katika mitaa yetu

2 comments:

Eric Andrew Ngindo said...

we like ur work John. Keep the work done we do count on you.

obat pelangsing cepat dan ampuh said...

thanks for sharing and good job