Sunday, April 19, 2015

Jana 19 Aprili: Mkutano wa hadhara Musoma


Picha ni mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika leo jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Friday, April 17, 2015

Habari Picha: Uzinduzi wa Kanda ya KusiniWiki iliyopita nilipata wasaa wa kuongoza mkutano wa uzinduzi Kanda ya Kusini uliofanyika siku ya Jumapili April 12, 2015 katika uwanja wa Mashujaa.Mkutano huo wa hadhara wa uzinduzi wa Kanda ya Kusini ulijumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara.Wednesday, April 1, 2015

Pitia Muswada wa Sheria ya Miamala ya Kielectroniki


Wadau,
Tuupitie pia muswada wa sheria ya miamala ya kielectroniki na kuuchambua


Kuusoma ingia kwenye link hapa
(Kiswahili ni kuanzia ukurasa wa 22)


https://drive.google.com/open?id=0BxcivnLsMSPhb3hHa0VjZWJhRDg&authuser=0