Monday, September 1, 2014

Mnyika akabidhi vyerahani kutimiza ahadi ya ajira kwa wanawake


Mnyika akibidhi vyerehani na mashine kudarizi kwa VICOBA viwili vya wanawake Kimara na Matete ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya kutoa vifaa vya kuwawezesha kujiajiri vyenye thamani ya jumla ya milioni 10 kwa vikundi mbalimbali jimboni kutoka katika CDCF;

(Kutoka kushoto Diwani Manota, anayekabidhiwa ni Mwenyekiti wa Kikundi na anayeshuhudia ni Mtendaji wa Kata)


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika akiwa na wanawake wa VICOBA Kimara wakishangilia baada ya kupokea vifaa vyao.


No comments: