Wednesday, January 26, 2011

Kongamano la Kutatua Kero Ya Maji Jimbo la Ubungo 31/01/2010

KONGAMANO LA MAJI JIMBO LA UBUNGO


31/01/2010 CHUO CHA MAJI, UBUNGO

Ndugu Mwananchi,

Napenda kukukaribisha katika kongamano la kujadili utatuzi wa kero ya maji katika jimbo la Ubungo siku ya 31/01/2011 katika Ukumbi wa Chuo cha Maji kuanzia saa tatu asu hadi saa saba mchana.

Kwa juhudi za Mbunge, kukutanisha wananchi, wizara husika, halmashauri, asasi za kiraia, Dawasco, Sekta Binafsi na wadau wengine wowote wa maji kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa kero ya maji katika jimbo la Ubungo.

Tafadhali fika bila kukosa. Pata barua ya mwaliko ama taarifa za ziada kupitia Jonathan (0783-552010).

Karibuni nyote! Maslahi ya Umma Kwanza.

3 comments:

SILAYO,A said...

Tunashukuru kwa mwaliko, na tunathamini sana juhudi zako mweshimiwa Mbunge.Nakutakia kila la kheri ktk ujenzi wa Taifa.PEOPLES......!

SILAYO,A said...

Kumbuka kumwomba Mungu akuongoze na akulinde maana c watu wote wanapenda juhudi zako.Tutaendelea kukuombea upate mafanikio makubwa ktk safari ya hapa duniani kiroho na kimwili.God bless u

Joseph said...

That is excellent. I had sent you an email to ask for a meeting with some stakeholders in Ubungo constituency. Do you really access you email? I had raised some suggestions which are worth exploring.