Wednesday, July 11, 2012

CHADEMA: Serikali imepanga kuwaua Viongozi wetu

4 comments:

Anonymous said...

propaganda za uongo hazitawafikisha popote,angalia sasa umemzushia mwigulu kwamba ni miongoni mwa watuhumiwa wa epa alafu huna ushahidi,huoni hiyo ni aibu kwako na chama chako kwamba sasa yote mnayosema watu tunachukulia ni uzushi tuu!

Anonymous said...

Poleni! Wanaowabeza ndio wale wale. Kuridhika na kila kitu kinachoenezwa na ccm huku wanaumia na kulalamika chini kwa chini!

Anonymous said...

Kama mnaona mnafuatiliwa na maisha yenu yako mashakani, kwa nini msijirekebishe na kufanya kazi zenu bila kuonesha ubaguzi na chuki kwa vyama vingine? Nyie wenyewe mnajijengea uadui. Ushauri wangu ni kuwa, fuateni yenu mnayokusudia kujenga chama chenu na sio kuingiza vyama vingine. Yasiyowahusu mnayatakiani??? Kama majasiri basi endeleeni na hasa nyie viongozi. Mnakua kama hamjaenda hata shule, mambo yenu fujo fujo tu!! Nchi yetu ina amani bwana tuilinde.

Anonymous said...

Ukweli ni kwamba serikali ya CCM imejenga misingi yake kwenye vitisho na kuua wale wasioonekana kuogopa vitisho hivyo. Mauaji ya kisiasa tangu miaka ya mwanzo wa Uhuru hadi sasa inatufanya kuwa na wasiwasi na "uhuru wa mawazo" unaoimbwa hapa nchini kwetu.
Kitu cha msingi ni kwamba kasi ya CCM ya kuondoka ikulu inazidi kuongezeka kwa sababu pamoja na vitisho mtaji wa ccm ni ujinga wa watanzania ambao kila kunapokucha adui ujinga anazidi kushindwa