Monday, December 3, 2012

Ziara ndani ya Jimbo iliyofanyika Desemba 1, 2012: Kimara na Saranga

Ziara Jimboni: 
Kuzindua maofisi, kutoa mrejesho kuhusu kazi za maendeleo jimboni, kusikiliza hoja mbalimbali na masuala ya kuyawasilisha bungeni toka kwa wananchi na kuhamisha wananchi kwendan kutoa maoni ya katiba mpya. 

Maslahi ya Umma Kwanza!

1 comment:

Anonymous said...

pole kwa majukumu na kazi kubwa ya kuimarisha na kukuza sera za chama zaidi ni kutetea na kuwafahamisha wananchi haki zao za msingi ambazo kwa namna moja zimekuwa zikifunikwana na baadhi watu wenye tabia kama za mnyama FUKO,ingawa nilikua mbali nasikuyshiriki ktk mkutano ktk kata ya saranga ila nimepoke pongezi nyigi ambazo naziwasilisha kwako rasmi toka kwa wannchi baadhi wa kata ya saranga hususani kimara B, na temboni,MUNGU ATUBARIKI SOTE KTK UTUME HUU na sisi iringa tunakukaribisha sana kabla sijamaliza chuo mwakani uje uone tuliyoyafanya huku..,.