Saturday, February 23, 2013

Ziara Kimara: Ukaguzi ulipaji fidia, upanuzi wa barabara na kuhakiki ujenzi wa daraja!


Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na mkazi wa Kimara Korogwe, Richard Paul wakati mbunge huyo alipokutana na wakazi hao kutaka kujua fidia wanazotaka kulipwa kutokana na upanuzi wa barabara, pia alitembelea ujenzi wa daraja katika eneo hilo. No comments: