Friday, April 17, 2015

Habari Picha: Uzinduzi wa Kanda ya KusiniWiki iliyopita nilipata wasaa wa kuongoza mkutano wa uzinduzi Kanda ya Kusini uliofanyika siku ya Jumapili April 12, 2015 katika uwanja wa Mashujaa.Mkutano huo wa hadhara wa uzinduzi wa Kanda ya Kusini ulijumuisha mikoa ya Lindi na Mtwara.No comments: