Friday, September 4, 2015

Shiriki nasi katika kampeni za Kibamba 2015Tunaomba ushiriki wako wa dhati kwa hali na mali kufanikisha ushindi wa Mnyika Kibamba. Waweza pia saidia kusambaza na kuomba kura mitandaoni na kwa ndugu ,jamaa na marafiki kwa kutumia posters hizi katika simu whatsapp, facebook, twitter n.k.

Asante na Ubarikiwe.

2 comments:

Mdada said...

Ningependa kutengeza bracelet zenye jina lako kwa ajili ya campaign.

Kwa mawasiliano zaidi email yangu ni mdadaproject@gmail.com au 0753904588/+254773063009

Unknown said...

SWALI LA DHATI KWA MNYIKA,,,MBONA SIKUHIZO CKUCKII KABISA UKIKEMEA NA KUUSEMA UFISADI WA CCM....AU WAMEBADILIKA CKUHIZ SIO MAFISADI TENA